Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh,, umenena.Bora uolewe hata ukifa watasema aliolewaga mbona? Kuliko kufa bila kuolewa hata na chizi tu ifahamike, yaani ni sawa na aliebeba mimba ikatoka itafahamika kuwa sio tasa ana kizazi kuliko alietangulia umri ukiwa umeshampa mkono na hakuwahi kubeba hata matambara tumboni, utasikia alikuwa tasa Yule
Hakuna kilicho bora
Kuachika ni aibu na ni sifa mbaya
Kutoolewa kabisa nalo ni tatizo
Linahusu maisha ya nani?!Swali halihusiani Na maisha yangu binafsi..
Sijaoa wala sijaolewaSamahani, we umeolewa?
here in Tz the edu. is so simple like that if you score 0 then simply you bashite, the game over.Kwani kutosoma kabisa au ukasoma ukafeli unafikiri nini bora!?Aliyejaribu akafeli anaujuzi zaidi kuliko ambae hajajaribu kabisa!
Kama ulizaliwa na unaishi ili uolewe yaani ghamira kuu ya maisha yako ni kuolewa.. mchango wako ni sahihi..Hakuna kilicho bora
Kuachika ni aibu na ni sifa mbaya
Kutoolewa kabisa nalo ni tatizo
Unataka kukimbia ndoaMashaka kwamba nimeachika au sijaolewa?? Ebu niweke sawa hapa