Kuolewa ukaachika au kutoolewa kabisa, kipi bora?

Kuolewa ukaachika au kutoolewa kabisa, kipi bora?

Ukienda kuomba kazi sehemu yeyote kigezo chao wengi wanasema uwe umefanya kazi so chini ya miaka flank ndo utapata kazi yani uzoefu, Au sio, ,Sasa basi


√√Afadhali uolewe then uachike utakuwa umefungua soko la kupata mume, sababu ni mzoefuuuu
 
Kama ulizaliwa na unaishi ili uolewe yaani ghamira kuu ya maisha yako ni kuolewa.. mchango wako ni sahihi..
Mm nafikir watu wakionana na hawaishi kwa amani ktk ndoa na hawana furaha kama walivyotarajia ni bora wakaachana....
Na pia kama mtu haoni anayemfaa ili kuishinae ktk ndoa bora akakaa tu ivoivo..
Huku kujifanya mnashida mno za kuolewa kunachangia sana kunyanyasika... ningeshauri familia ziwaandae watoto wote ( kike na kiume) vizur ili waweze kuhimili maisha bila kuwa tegemezi..
Hakuna fedhea kuachana na mtu, wala hakuna fedhea kutoambatana na mtu..
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Usiombe yakukute unaamua kuoa unajipanga na sherehe unafanya fresh kumbe mwenzio amenyenyekea na yeye aolewe ili atuzwe vitu vya ndani na kuondoa gundu tu habari na wewe hana mambo hayo yanapatikana dsm
 
Back
Top Bottom