pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 312
- 616
Soma uelewe ....bank statement unaweza ku download mwenyewe kwenye online banking ila kama utahitaji muhuri ili upeleke sehemu labda ukaombe visa au mkopo kwenye taasisi nyingine ya kifedha itabidi uende bank waka kupe print out yenye muhuri ambayo utalipia....Elfu 2
Soma uelewe ....bank statement unaweza ku download mwenyewe kwenye online banking ila kama utahitaji muhuri ili upeleke sehemu labda ukaombe visa au mkopo kwenye taasisi nyingine ya kifedha itabidi uende bank waka kupe print out yenye muhuri ambayo utalipia....
Bas wanafanya utumwa kwa wengine 😁😁Sio bure huwa kuna makato kwenye account, benki kabisa?!!! Wakupe huduma ya bure?!! Labda maulizo ya mdomo ndio bure
Waganga wa kienyeji ni mwiko kutunza pesa benkiNa ujanja wote huo kumbe hutunzi pesa bank 😹😹😹
Hiyo unalipia kabla hawajakutolea sawa Kenzy 🤣
Uko sahihi mkuu nikifuata ile principal yangu ya "don't argue with fools"Tatizo ni moja mkuu ujuaji umekuzidi na ukiherehere na ukihedemsede pia sijakuquote kiasi cha kunimwagia gazeti lote hilo na pia sio wote wanaoweka pesa zao bank wana simbanking. Na huko online sio bure. Cha bure duniani pumzi tu.