Kuomba hela ni aibu, kuomba hela usipewe hiyo ni aibu ya pili na kukumbushia ombi la kuomba hela hiyo ni aibu ya tatu.

Hakuna kitu inakata stimu kama una shida ya pesa ujielezeee kwa mtu weee halafu na yeye aanze kukulezea matatizo yake na kumalizia na jibu sina kitu mwaangu na unajua anayo ila kakukazia....

Ukitaka kumpiga mtu kirungu ana anado uipige vizuri.
 
Tulia weweee
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nishakupa onyo kuwa mimi nina video yako...
Ile Uliyo tuma Tiktok, sasa endelea kama sijatuma hapa ukiwa na kile kibibiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Et regge can cure back pain πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we jamaaa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…