Kuomba hela ni aibu, kuomba hela usipewe hiyo ni aibu ya pili na kukumbushia ombi la kuomba hela hiyo ni aibu ya tatu.

Dah jamaa umetengeneza ngazi tatu za aibu kuomba,kunyimwa na kukumbushia
 
Back
Top Bottom