fukunyuku1234
JF-Expert Member
- Mar 12, 2024
- 243
- 494
Thubutu alichinjiwa baharinikwahiyo shemeji ulimpa hela ya kisimbuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubutu alichinjiwa baharinikwahiyo shemeji ulimpa hela ya kisimbuzi
ulifanya vibaya maana umemzoesha mwenyeweThubutu alichinjiwa baharini
Huu uzi unahusu watu binafsi sio serikali.Mama yako samia kila siku anaenda kuomba hela na misaada wazungu anatuletea aibu tu sisi watanzania!
Kinachofata huwa ni kitangazwaalbu sana
Na sisi tunaokopa je?Hii ni kwa wapiga vibomu wenzangu wote nawakumbusha hizi aibu tunazokutana nazo katika haraka zetu za kupiga watu wetu vibomu.
Ongeza aibu nyingine kwenye harakati.
Hata huku mikoan mtu akitoka dar kila mtu huwa anataka apige kibom.Ila huko daslam, wanaume hawana aibu kabisa aiseeee.....[emoji1787]