Kuomba kazi

Joined
Jun 16, 2019
Posts
28
Reaction score
14
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 25 na mkazi wa DODOMA, Pia nina fani ya udereva.
Dhumuni yangu kuu ni kuomba au kutafuta kazi ambayo inaweza kuniingizia kipato na kukidhi mahitaji yangu hapo mbeleni.Nina uzoefu wa fani zifuatazo:
๐Ÿ‘‰๐Ÿผ Udereva wa kuendesha magari kuanzia tan 3 hadi tani 4ยฝ,Pia nina uzoefu wa kuendesha daradara (public transportation)
๐Ÿ‘‰๐Ÿผ Nina uzoefu wa kuuza maduka ya jumla na rejareja
๐Ÿ‘‰๐ŸผNina ujuzi wa kuwa store keeper
Kwa yoyote ambae yuko tayari naomba tuwasiliane kupitia namba 0622 94 1452 au kwa barua pepe mohamedhabibu075@gmail.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ