Uchaguzi 2020 Kuomba kura kwa ukabila CCM hii imezidi. Msukuma awaambia wana Geita kwa kisukuma mnamwachaje mtoto wenu mnachagua asiye wa kwenu

Uchaguzi 2020 Kuomba kura kwa ukabila CCM hii imezidi. Msukuma awaambia wana Geita kwa kisukuma mnamwachaje mtoto wenu mnachagua asiye wa kwenu

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka.

Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka kumchagua asiye wa nyumbani kwenu usukumani na kasema kwa kuwa tunafahamiana kwenye mikutano yao wakija ole msukuma ahudhurie baada ya Uchaguzi wataonana.

Huu ukabila Tume ya Uchaguzi haioni kuwa ni kuligawa taifa?
 
Ukisikia kubomoa paa la nyumba ili ujenge mlango ndiko huku...., tunapandikiza chuki na ukabila...

Kazi kubwa aliyofanya Mwalimu ya kutuunganisha inaharibiwa leo...., kwa manufaa ya nani... (who knows); ila definitely not Tanzania...
 
Hili kabila nao la hovyo sana
Hili kabila limejitunzia heshima yake kwa muda mrefu na ni kabila la kuaminika sana..sema kuna wapumbafu wachache wanataka kutuharibia..hivyo nachukua nafasi hii kulaani tabia hiyo kwa wote wanaotumia ukabila kuomba kula..pia na waombea radhi muwasamehe hawajitambui.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ni kawaida, kule nimewahi kuishi, kuna wazee kule hawajiu Kiswahili hata cha kuombea maji tu,
Acha Tu mkuu waombwe Kura Kwa lugha Yao ileile!! Na nadhani hakuna ubaya Ila tu mtizamo tu ulionao wewe
Sheria za uchaguzi zinataka kishahili tu kitumike
 
Ni kawaida, kule nimewahi kuishi, kuna wazee kule hawajiu Kiswahili hata cha kuombea maji tu,
Acha Tu mkuu waombwe Kura Kwa lugha Yao ileile!! Na nadhani hakuna ubaya Ila tu mtizamo tu ulionao wewe
Kuna watu wanaweza kuunga mkono ujinga, sidhani kama wewe ni miongoni mwao. Kanuni zinakataza kutumia lugha za lakini kienyeji bado kuna watu wanafanya na tunawaunga mkono.
 
Back
Top Bottom