Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Duh msumari umezama huu mkuu.Mshamba ni wewe na bibi zako.
tenaaa ukome kabisa
Wewe pimbi naona kujamba umeona haitoshi Basi unataka kuharisha..haya sawa we harisha Ila uu uharo utauzoa kwa mikono yako.La maana ni lipi hujui sisi tuko wengi kuliko vikabila vyenu vya ajabu ajabu hivyo?
Unaona Sasa..haya endelea kukalia huo ' msumari' hapo LumumbaPimbi ni mamako, Lushindo wewe.
😂😂Wee jamaa huna akili mpaka unaboa.. Yaani kwenye hoja nzito na muhimu kwa mustakbali wa Taifa letu kama hii wewe unaweka utumbo wako hapo..
Nakuambia ningekua Mod ningekupa hata BAN ya mwaka utulie nje, labda akili yako itatulia
Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka.
Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka kumchagua asiye wa nyumbani kwenu usukumani na kasema kwa kuwa tunafahamiana kwenye mikutano yao wakija ole msukuma ahudhurie baada ya Uchaguzi wataonana.
Huu ukabila Tume ya Uchaguzi haioni kuwa ni kuligawa taifa?
Aisee hii akili Kama ni ya kingosha basi naweza nikajivua ukabila ...mi Ni Msukuma lakini huu umaandazi si mchezoMeza wembe sasa, yani tuna mikoa kama mitano, tuna madhahabu, ma almasi na ziwa almost kila kitu!
tuko wengi, tunaongoza nchi, chuuuuuu! Kazi mnayo.
habari za kuongeza mishahara polisi ni za Lissu, sisi tunaongeza vyumba vya madarasa madawati na walimu, watoto hamna kubeba makwanja na majembe hakuna kuchangishwa fedha ya mlinzi haya yote yanawahusu na watoto pia, tunaongea kwa ustaarabu huku tunapata mziki wa Zuchu unadhani watoto hawapendi kumwona Zuchu? thubutu,Sasa hao hata 2025 watakuwa hawajafika 18.Waacheni watoto wakue bwana. Msiwachanganye issue za siasa mara kuongeza mishahara.
Hiyo almasi na ng'ombe na samaki na dhahabu na mengine mengi mnajua anayafaidi nani ilhali mnabaki kuwa maskini wakubwa nchi hii huku mkihaha maporini kuwafanyia wengine kazi?Meza wembe sasa, yani tuna mikoa kama mitano, tuna madhahabu, ma almasi na ziwa almost kila kitu!
tuko wengi, tunaongoza nchi, chuuuuuu! Kazi mnayo.
Punguza mahaba kwa hao watu mtu wangu unajidhalilisha..😂😂
Mkuu, Acha hasira aisee
Mbaya kabisa wewe siye mod
Kama ni hivyo kwanini tusianzishe vyama vya MAKABILA!! Kila mmoja apewe kura na watu wa kabila lake na wasithubutu kumpa mtu ambae hatoki na wao..Kwani angesema kwa kiswahili mchagueni mtoto wenu tena wa nyumbani msimchague mwengine nao ungekua ukabila? Yaani watu wa nyumbani kwako unataka uwaambie wachague upinzani? Kweli? Au lugha ndo tatizo?
Wanajengewa Misikiti na madege ya kuwapeleka Hijja yanasubiri Covid-19 ipungue Saudia viwanja vifunguliwe. Teuzi ni kwa homeboys na waunga mkono juhudi.Changanya na udini humo.waislamu wanaisoma namba hawapati teuzi
Wewe umeona kuwa hajakoseaKwa hiyo hii nayo umeona hoja ya kuibua na kuianzishia uzi? Mtu kuuliza kuwa itakuwa ajabu kutochagua mtoto wa nyumbani ni kosa?
Watu wa Tume wamekubali kula haramu kwa ajili ya ubinafsi wao wa kulinda vyeo kwa kutokusimamia Haki sawa kwa wote kwa kuzingatia sheria zilizopo.Uwajibikaji kwa wote na uwanja sawa kwa wagombea na vyama vyote.Vinginevyo uchaguzi unapoteza Uhalali mikononi mwenu.Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka.
Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka kumchagua asiye wa nyumbani kwenu usukumani na kasema kwa kuwa tunafahamiana kwenye mikutano yao wakija ole msukuma ahudhurie baada ya Uchaguzi wataonana.
Huu ukabila Tume ya Uchaguzi haioni kuwa ni kuligawa taifa?
Kwa hiyo hii nayo umeona hoja ya kuibua na kuianzishia uzi? Mtu kuuliza kuwa itakuwa ajabu kutochagua mtoto wa nyumbani ni kosa?
Acha kutetea UOZO ivi mwalimu J.K Nyerere aliwezaje kuzungumza na wa tanganyika wote makabila 124 kuunganna na kupigania uhuru wa Nchi. Hakuna ulazima yy amwage kilugha hao wasio jua Kisw wangetafsiriwa na wengineNi kawaida, kule nimewahi kuishi, kuna wazee kule hawajiu Kiswahili hata cha kuombea maji tu. Acha tu mkuu waombwe Kura Kwa lugha Yao ileile!! Na nadhani hakuna ubaya Ila tu mtizamo tu ulionao wewe
Maadili ya uchaguzi hayazingatiwi. Endapo eneo lina wakaazi wasiojua Kiswahili, mwomba kura atazungumza kiswahili,na atakuwepo mkalimani wa kutafsiri kwa lugha ya wakazi. Hii ina maana ni mkalimani pekee anaruhusiwa kuongea lugha tofauti na kiswahili!Ni kawaida, kule nimewahi kuishi, kuna wazee kule hawajiu Kiswahili hata cha kuombea maji tu. Acha tu mkuu waombwe Kura Kwa lugha Yao ileile!! Na nadhani hakuna ubaya Ila tu mtizamo tu ulionao wewe