Kuomba nafasi za vyuo vya Ualimu mwaka 2014

waliomaliza mwaka jana 2013 mwisho div IV pt 34 lakini waliomaliza kuanzia 2012 kurudi nyuma mwisho div IV pt 27.

Duuu..kwa hiyo mtu mwenye div 4.38 C 2 , D 2, E 1 na F 2, hawezi kwenda teaching level ya cetificate??
 
Duuu..kwa hiyo mtu mwenye div 4.38 C 2 , D 2, E 1 na F 2, hawezi kwenda teaching level ya cetificate??

acha kudanganya watu wizara bado haijatoa ufanunuzi, namna watakavyochukua , watasema tu!,
subili . kumbuka kuna mabadiliko ya upangaji wa kufaulu.
 
Naomba msaada wa kuorodheshewa Vyuo vya ulimu kwa ngazi ya cheti.
 
wadau habari za muda huu, naomba mnisaidie juu ya jinsi ya kutuma maombi kwa njia ya electronic
 
[h=3]BREAKING NEWS:"WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA SOKOINE-MOROGORO WAGOMA TENA"[/h]
 
sorry and staki kujipa maujiko saana but kwa mtu anayehitaji details kuhusu vyuo vya ualimu na afya i can help maana naona wengi tunadanganyana humu ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…