waliomaliza mwaka jana 2013 mwisho div IV pt 34 lakini waliomaliza kuanzia 2012 kurudi nyuma mwisho div IV pt 27.
Duuu..kwa hiyo mtu mwenye div 4.38 C 2 , D 2, E 1 na F 2, hawezi kwenda teaching level ya cetificate??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
waliomaliza mwaka jana 2013 mwisho div IV pt 34 lakini waliomaliza kuanzia 2012 kurudi nyuma mwisho div IV pt 27.
Duuu..kwa hiyo mtu mwenye div 4.38 C 2 , D 2, E 1 na F 2, hawezi kwenda teaching level ya cetificate??
acha kudanganya watu wizara bado haijatoa ufanunuzi, namna watakavyochukua , watasema tu!,
subili . kumbuka kuna mabadiliko ya upangaji wa kufaulu.
jaman naomba mniambie vigezo vya mtu aliye lisit kwa matokeo mapya,akitaka kusomea ualim wa primary?
naomba kuuliza kama mda wa application umefika
[h=3]BREAKING NEWS:"WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA SOKOINE-MOROGORO WAGOMA TENA"[/h]Habari wadau,
Naomba mnipe msaada wa maelezo tafadhali, utaratibu wa wanaoomba nafasi za vyuo vya ualimu vya serikali (ngazi ya certificate) kwa mwaka huu;
1. Applications zinaanza kupokelewa kuanzia mwezi gani.
2. Taratibu za kuapply unaomba wapi na kwa utaratibu gani/zipi.
Ntashukuru sana wadau, nataka kumsaidia mdogo wangu kwenye applications na sijajua pa kuanzia na muda wa kuanza kuomba na utaratibu gani wa kutumia. Natanguliza shukrani kwenu.
Nawasilisha.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums