Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,289 Reaction score 46,624 Mar 12, 2020 #21 Gily said: Hahaha ukundi kawari ee enda oo kwa matesha ukobe ngama ngishe taa, akuninge kashori kamu Hahahah we jamaa umenikumbusha nyumbani, mie niko Dar nitawasalimia nikienda aisee na gari ya Tilisho au Ester Click to expand... Ayauu mmeku..
Gily said: Hahaha ukundi kawari ee enda oo kwa matesha ukobe ngama ngishe taa, akuninge kashori kamu Hahahah we jamaa umenikumbusha nyumbani, mie niko Dar nitawasalimia nikienda aisee na gari ya Tilisho au Ester Click to expand... Ayauu mmeku..
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 8,632 Reaction score 23,673 Mar 12, 2020 Thread starter #22 Ulweso said: Sasa unazani unaitwaje! Ndiyo majina yao,sasa uwe hujaoa siku ukioa majukumu yameongezeka pesa hawapewi kama zamani utasikia mkewe huyo hasira zote kwa mke Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hahaha yani wewe umepigilia msumari kwa nyundo Mke kumbe hana hata kosa chuki mbaya sana
Ulweso said: Sasa unazani unaitwaje! Ndiyo majina yao,sasa uwe hujaoa siku ukioa majukumu yameongezeka pesa hawapewi kama zamani utasikia mkewe huyo hasira zote kwa mke Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hahaha yani wewe umepigilia msumari kwa nyundo Mke kumbe hana hata kosa chuki mbaya sana