The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Hii sasa ina 3 weeks mwanzo nilikuwa nawaona wadogo bafuni nikawa nawaua nawaflash nilipouliza watu wakaniambia watakuwa wanaingia kupitia bomba maana jirani hakuna dimbwil wala mto kwa saiz yao nikajiridhisha ,sasa hivi karibuni ninawaona wakubwa kama nisu ngumi tena mara 2-5 kw week ,na ukweli bafu yangu haina majimaji .jamani hii ni nini nijuzeni kiundani.