Kuona chura mara kwa mara nyumbani

Kuona chura mara kwa mara nyumbani

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Hii sasa ina 3 weeks mwanzo nilikuwa nawaona wadogo bafuni nikawa nawaua nawaflash nilipouliza watu wakaniambia watakuwa wanaingia kupitia bomba maana jirani hakuna dimbwil wala mto kwa saiz yao nikajiridhisha ,sasa hivi karibuni ninawaona wakubwa kama nisu ngumi tena mara 2-5 kw week ,na ukweli bafu yangu haina majimaji .jamani hii ni nini nijuzeni kiundani.
 
Kuna mtu aliwahi kuniambia (biliefs za kisukuma) ni kua kuna mtu ni mjamzito humo ndani. Chunguza nyumbani kwako, anzia mama mwenye nyumba,mabinti na hausi-geli,kuna mtu kanasa siku sio nyingi
 
vyura hawa hawa vyura?

hii mpya aisee

ombea hiyo nyumba na uchunguze vizuri
 
kuna mtu ana dimbwi humo ndani...wanataka kuogelea
 
Hii sasa ina 3 weeks mwanzo nilikuwa nawaona wadogo bafuni nikawa nawaua nawaflash nilipouliza watu wakaniambia watakuwa wanaingia kupitia bomba maana jirani hakuna dimbwil wala mto kwa saiz yao nikajiridhisha ,sasa hivi karibuni ninawaona wakubwa kama nisu ngumi tena mara 2-5 kw week ,na ukweli bafu yangu haina majimaji .jamani hii ni nini nijuzeni kiundani.

mambo ya rejesta za misimu ayoo mmh.
Au ufafanuzi wa kinyota.
 
mimi mwenyewe sijaelewa ni vyura wapi hao, kweli kiswahili kigumu.
 
maana yake choo chako kina dalili ya kufurika, jipange uwate nyonyamavi au watapishaji!
 
Hii sasa ina 3 weeks mwanzo nilikuwa nawaona wadogo bafuni nikawa nawaua nawaflash nilipouliza watu wakaniambia watakuwa wanaingia kupitia bomba maana jirani hakuna dimbwil wala mto kwa saiz yao nikajiridhisha ,sasa hivi karibuni ninawaona wakubwa kama nisu ngumi tena mara 2-5 kw week ,na ukweli bafu yangu haina majimaji .jamani hii ni nini nijuzeni kiundani.
labda wapo kwenye tank ya maji ya kuflashia(wamezaliana humo) kama unamaanisha vyura vyuraaaa wa kawaida
 
ha ha ha ha! vyura? bafuni?....ulkuwa unatakata uwaonee wap? au kwa jirani ako? una roho mbaya ww
 
Hii sasa ina 3 weeks mwanzo nilikuwa nawaona wadogo bafuni nikawa nawaua nawaflash nilipouliza watu wakaniambia watakuwa wanaingia kupitia bomba maana jirani hakuna dimbwil wala mto kwa saiz yao nikajiridhisha ,sasa hivi karibuni ninawaona wakubwa kama nisu ngumi tena mara 2-5 kw week ,na ukweli bafu yangu haina majimaji .jamani hii ni nini nijuzeni kiundani.

Acha ushirikina. Zikimwagika hela kwako utatuwekea humu kuwa jamani kuna nini mbona hela zinamwagika kwangu. Do not be superstitious, be scientific. Look for a scientific reason kwa nini chura wanakuja kwako! Nimekushangaa!
 
ha ha ha ha! vyura? bafuni?....ulkuwa unatakata uwaonee wap? au kwa jirani ako? una roho mbaya ww

mkuu....ipo kama umeelewa........hebu nieleweshe na mie niagize vyura.........
 
sasa mtu mwenyewe umekula kona.. Njoo hapa nikueleze tatizo...
 
Back
Top Bottom