ni lugha ya picha au!!!!!
yaani ni kama sijaelewa kitu CHOCHOTE!!!!!!!!!!!!
halafu kama ni lugha ya picha jamaa ana phd ya kiswahili
halafu kama ni lugha ya picha jamaa ana phd ya kiswahili
Hii sasa ina 3 weeks mwanzo nilikuwa nawaona wadogo bafuni nikawa nawaua nawaflash nilipouliza watu wakaniambia watakuwa wanaingia kupitia bomba maana jirani hakuna dimbwil wala mto kwa saiz yao nikajiridhisha ,sasa hivi karibuni ninawaona wakubwa kama nisu ngumi tena mara 2-5 kw week ,na ukweli bafu yangu haina majimaji .jamani hii ni nini nijuzeni kiundani.
labda wapo kwenye tank ya maji ya kuflashia(wamezaliana humo) kama unamaanisha vyura vyuraaaa wa kawaidaHii sasa ina 3 weeks mwanzo nilikuwa nawaona wadogo bafuni nikawa nawaua nawaflash nilipouliza watu wakaniambia watakuwa wanaingia kupitia bomba maana jirani hakuna dimbwil wala mto kwa saiz yao nikajiridhisha ,sasa hivi karibuni ninawaona wakubwa kama nisu ngumi tena mara 2-5 kw week ,na ukweli bafu yangu haina majimaji .jamani hii ni nini nijuzeni kiundani.
Hii sasa ina 3 weeks mwanzo nilikuwa nawaona wadogo bafuni nikawa nawaua nawaflash nilipouliza watu wakaniambia watakuwa wanaingia kupitia bomba maana jirani hakuna dimbwil wala mto kwa saiz yao nikajiridhisha ,sasa hivi karibuni ninawaona wakubwa kama nisu ngumi tena mara 2-5 kw week ,na ukweli bafu yangu haina majimaji .jamani hii ni nini nijuzeni kiundani.
ha ha ha ha! vyura? bafuni?....ulkuwa unatakata uwaonee wap? au kwa jirani ako? una roho mbaya ww
Asa ushirikina wake upo wapi hapo? Si ametaka ushauri tu ..: