Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,210
- 5,752
Mawenge ya machon,,kuona kama kiza /kutokuona clearmaruwiruwi ni nn kwanza kwa tafsiri nyepesi zaidi ya hiyo
Mkuu mumpeleke hospital wamuangilie BP na damuMsaada please!
Nina ndugu yangu hapa mke wake anaujauzito wa miezi 6 ila tatizo lake ni kuwa, anaona maruwiruwi machoni pake si mchana wala usiku. Je ni nini tatizo?
SawaMkuu mumpeleke hospital wamuangilie BP na damu
Kuona kama nyotanyota zikiingia machonimaruwiruwi ni nn kwanza kwa tafsiri nyepesi zaidi ya hiyo
Asante kwa ushauri, ngoja ampeleke hospitali kisha ninatoa mrejesho.Mkuu mumpeleke hospital wamuangilie BP na damu
[emoji122][emoji122][emoji122]Hiyo ni dalili ya Presha ama Upungufu wa Damu.....
Alafu skunyingine mama mjamzito anapo pata tatizo, kwanza mpelekeni hospitali na kisha ndipo ukuje uandike uzi humu kuomba ushauri.
Kumbuka jf sio sehem ya kupata tiba kwa kesi za dharura