Kuona Maruweruwe

Kuona Maruweruwe

Akasankara

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
4,210
Reaction score
5,752
Msaada please!
Nina ndugu yangu hapa mke wake anaujauzito wa miezi 6 ila tatizo lake ni kuwa, anaona maruweruwe machoni pake si mchana wala usiku. Je ni nini tatizo?
 
Ehhh Asijekuwa presha ishaanza msumbua ama kifafa cha mimba si dalili nzur kabisa aende hosp
 
Hiyo ni dalili ya Presha ama Upungufu wa Damu.....
Alafu skunyingine mama mjamzito anapo pata tatizo, kwanza mpelekeni hospitali na kisha ndipo ukuje uandike uzi humu kuomba ushauri.
Kumbuka jf sio sehem ya kupata tiba kwa kesi za dharura
 
Msaada please!
Nina ndugu yangu hapa mke wake anaujauzito wa miezi 6 ila tatizo lake ni kuwa, anaona maruwiruwi machoni pake si mchana wala usiku. Je ni nini tatizo?
Mkuu mumpeleke hospital wamuangilie BP na damu
 
Hiyo ni dalili ya Presha ama Upungufu wa Damu.....
Alafu skunyingine mama mjamzito anapo pata tatizo, kwanza mpelekeni hospitali na kisha ndipo ukuje uandike uzi humu kuomba ushauri.
Kumbuka jf sio sehem ya kupata tiba kwa kesi za dharura
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom