Kuona Twiga Stars dhidi ya Namibia leo saa kumi Uwanja wa Mkapa bure

Safi sana,, ningewashangaa kama wangeweka kiingilio
 
Yaani corona imekaa kiupigajipigaji sana unaweza pimwa uku ukawa mzima kule ukute unaumwa mara chanjo janja janja uwanjani nako mara huku waruhusiwe kule wazuiwe yaani shaghala baghala . kwenye siasa ndio balaa kabisa naanza kukubaliana na watu wanayoihusha corona na mipango ya kiimani
 
Goli la Tanzania AWCON

TANZANIA 1 - 2 NAMIBIA

Source : Azam TV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…