Kuondoa kovu la moto kwenye ngozi (burn Scars)

Kuondoa kovu la moto kwenye ngozi (burn Scars)

Prince Hope

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
2,155
Reaction score
445
Hi all, mada yangu ni kuhusu kovu lililosababishwa na moto or maji ya moto au kitu kingine!

Je, wadau/doctors kuna cream or natural herb that can get rid of it.

Lengo ni kwamba vinyweleo viote kama sehemu nyingine ya ngozi!
 
Back
Top Bottom