Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
The last I checked,the chap's lost nothing at all.Tafuta pesa π€£π€£π€£π€£πͺπΊπΆπΆπΆ
Mbona "sawa" ya sauti ndogo sana mkuu?sawa
Maisha!Buku?π€Huku niliko kuna za kienyeji ukiipa hata buku inakuona mungu mtu
Issue sio pesaTafuta pesa π€£π€£π€£π€£πͺπΊπΆπΆπΆ
Huna pesa kaa kimya.Kila kukicha kundi moja linalaumu kundi jingine.
Eeeehh mara hivi mara vile.
Dawa ni kila mmoja abaki na kitu chake anachoona ni cha thamani.
Mapenzi zama hizi hayana faida . Mambo ya kugeuzana ATM machine hapana.
Anzeni mafunzo ya judo na uchawi ili viwe kinga.Sawa ila msituvizie mkatubaka sasa π
Mengine yanapendeka vema tu.Changamoto ni mstari wako wa mwisho.Maji hushuka mtelemko
mwanaume huota ndevu
Mvua hunyesha masika
Mwanamke unaempenda amestahili hela
Pesa zipo ndugu sema hii biashara yao haramu hapanaHuna pesa kaa kimya.
Acha kudate usiowapenda .mm wangu akiona sina hela ananipa 50 nkalewe na washkajNyie wanaume mnaweza kubaki na mali zenu sasa? Yaani mnavyotubembelezaga tutumie hela zenu hadi huruma.
Unakuta kila siku mtu anakubembeleza akutoe dinner, mara ooh unapendelea zawadi gani, mara hiyo elfu 50 nunua bando.
Unamwambia mtu hutaki ila anaendelea kukulazimisha utumie hela zake.
Kaka nipo mbeya ndich ndich huku kwa muda kuna kienyej za kutosha AF K inabana mpk bas kuna mmoja nilimpa elf tano namwambia yako anasema nikurudishie chenjMaisha!Buku?π€