Kuondoa madoa meusi kwenye upande wa ndani wa meno kinywani.

Kuondoa madoa meusi kwenye upande wa ndani wa meno kinywani.

Mgoda simtwange

Senior Member
Joined
Sep 7, 2012
Posts
168
Reaction score
64
Napiga mswaki kila siku kwa kutumia colgate. Upande wa nje wa meno yangu ipo safi na yanang'aa sana. Tatizo lipo upande wa ndani wa kila jino kwenye kinywa ambako kuna madoa meusi.

Hata nipige mswaki kiasi gani yale madoa meusi (uchafu mweusi) hayatoki/hautoki. Kimsingi haya madoa meusi upande wa ndani wa meno yangu ni kero kwangu.

Watalaamu naomba mnisaidie niyasafishe namna gan?, nitumie nini? au dawa gani? nifanye nini ili sehemu ya ndani ya jino isichafuke?
 
Nenda Aghakan kusafisha meno ni kama 69,000/= hivi au kama msuli mdogo nenda muhi2 ni buku 30.
 
Back
Top Bottom