Kuondoa mlio wakati wa screenshot

Kuondoa mlio wakati wa screenshot

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
1,484
Reaction score
2,852
Members Nina sm yangu ya Infinix nimeshindwa kutoa sauti wakati ninapo screenshot. Hio souti inayotoka ninapo screenshot inakera sana maana ni ya juu sana. Je inawezekana nikawa nachukuwa screenshot kimyakimya bila kutoa souti?
 
Na kama ukifanikiwa ukipiga hiyo picha tuu kwa aina hiyo ya cm inalipuka
 
Back
Top Bottom