BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Members Nina sm yangu ya Infinix nimeshindwa kutoa sauti wakati ninapo screenshot. Hio souti inayotoka ninapo screenshot inakera sana maana ni ya juu sana. Je inawezekana nikawa nachukuwa screenshot kimyakimya bila kutoa souti?
Nina sm 3 tofautitofauti boss na zote ziko hewani, na kiswaswadu juu, lumla sm 4.Tafuta hela uachane na matumizi ya infinix basi