Kosa ambalo halikuadhibiwa hujirudia. Dhamira ya kuiondoa 100 bila shaka ilikuwa njema lakini utaratibu wa kuiondoa uliruka hatua mbalimbali muhimu, nani hakufanya nini na nani alifanya nini kwenye hili. Mheshimiwa Ndugai alituonyesha njia wa namna kiongozi mtoa maamuzi anapoteleza anavyotakiwa kufanya na kufanyiwa. Bussiness as usual lazima ikome,Serikali yote ya CCM na Wabunge wake wote, akiwemo huyo mnafiki Luhaga Mpina.
Hakika umenena vizuri snSerikali yote ya CCM na Wabunge wake wote, akiwemo huyo mnafiki Luhaga Mpina.
Tujenge utamaduni mpya wa kupongezana na kulaumiana kwenye maslahi ya taifa bila kujali ni nani kafanya vizuri au amekosea. Hivyo ndivyo wenzetu wanaofanya vizuri kwenye uchumi wao wanavyofanya. Waafrika wanatabia ya kupigia makofi kila mtu kila jambo analofanya kiongozi, ilimradi awe wa Chama chao. Nadhani Rais Samia anataka kuugeuza utamaduni huu. Kama kiongozi kwake Kumetokea shida kubwa ya kizembe awajibike mwenyewe au awajibishwe, kila mtu kuanzia kwa Rais lazima ajue uongozi wa nchi sio ajira yake bali utumishi wa watu.Hakika umenena vizuri sn
Kwa hii katiba mbovu siyo rahisiTujenge utamaduni mpya wa kupongezana na kulaumiana kwenye maslahi ya taifa bila kujali ni nani kafanya vizuri au amekosea. Hivyo ndivyo wenzetu wanaofanya vizuri kwenye uchumi wao wanavyofanya. Waafrika wanatabia ya kupigia makofi kila mtu kila jambo analofanya kiongozi, ilimradi awe wa Chama chao. Nadhani Rais Samia anataka kuugeuza utamaduni huu. Kama kiongozi kwake Kumetokea shida kubwa ya kizembe awajibike mwenyewe au awajibishwe, kila mtu kuanzia kwa Rais lazima ajue uongozi wa nchi sio ajira yake bali utumishi wa watu.
Watoe mia 5 kabisaTozo kwenye mafuta ya shilingi 100 kwa kila lita 1 ya mafuta ni ndogo sana, angalau ingekuwa 300 kwa kila lita ya mafuta.
MadarakaIla MPINA anaonekana kuwa ana agenda yake ambayo ni zaidi ya sh 100 na January Makamba, hapo ndo kwenye kasoro kidogo