Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bofya *149*99# utapata matokeo haya.
Chagua 5, utaletewa menu bofya namba 8 halafu menu itakayokuja chagua n (next) utaona salio la mb zako.View attachment 1604991
Bofya *149*99# utapata matokeo haya.
Chagua 5, utaletewa menu bofya namba 8 halafu menu itakayokuja chagua n (next) utaona salio la mb zako.View attachment 1604991
Hii hata mimi imekubaliNi kweli menu ya salio la data imefichwa na nimepata shida sana mpaka kuipata. Ukitaka kuangalia salio la data pamoja na la muda wa maongezi tumia code hii: *149*99*10#.
Hahaaa! basi huwa hufiki mwisho wa menu na kubofya "n" ili kuona salio la data zako.Unataka kuamini zaidi ya miaka 15 natumia airtel siifahamu menu hii? Naifahamu. Hii bado hawaleti taarifa za data.
Hahaaa! basi huwa hufiki mwisho wa menu na kubofya "n" ili kuona salio la data zako.
Option ya kuona data hawajaiondoa, sema wameweka menu refu sana. Njia ndefu
Unaongelea enzi Airtel inaitwa Zain au?Mponda nadhani huelewi. Mimi natumia airtel toka wewe ukiwa mdogo sana.miaka hiyo haikuwa inaitwa airtel.nmesahau hata jina lake...hiyo N next huwa naifuata wakileta majibu yanakosekana ya data. Nmeweka mfano kwa wenzio kadhaa page ya kwanza.basi labda wananifanyia mimi tu jambo hilo.