Kuondoa Option ya kuangalia salio la Data Bundle Airtel ni kuweka mazingira ya kutuibia

Ni kweli menu ya salio la data imefichwa na nimepata shida sana mpaka kuipata. Ukitaka kuangalia salio la data pamoja na la muda wa maongezi tumia code hii: *149*99*10#.
 
Bofya *149*99# utapata matokeo haya.
Chagua 5, utaletewa menu bofya namba 8 halafu menu itakayokuja chagua n (next) utaona salio la mb zako.
 
Unataka kuamini zaidi ya miaka 15 natumia airtel siifahamu menu hii? Naifahamu. Hii bado hawaleti taarifa za data.
Hahaaa! basi huwa hufiki mwisho wa menu na kubofya "n" ili kuona salio la data zako.
Option ya kuona data hawajaiondoa, sema wameweka menu refu sana. Njia ndefu
 
Mponda nadhani huelewi. Mimi natumia airtel toka wewe ukiwa mdogo sana.miaka hiyo haikuwa inaitwa airtel.nmesahau hata jina lake...hiyo N next huwa naifuata wakileta majibu yanakosekana ya data. Nmeweka mfano kwa wenzio kadhaa page ya kwanza.basi labda wananifanyia mimi tu jambo hilo.

Hahaaa! basi huwa hufiki mwisho wa menu na kubofya "n" ili kuona salio la data zako.
Option ya kuona data hawajaiondoa, sema wameweka menu refu sana. Njia ndefu
 
Unaongelea enzi Airtel inaitwa Zain au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…