insane
Member
- Jun 9, 2026
- 28
- 41
Msingi mkubwa wa serikali upo kwenye jeshi. Kule jeshini kiongozi anakuwa ameweka viongozi ambao amekubaliana nao au hata ndugu zake kabisa. Sasa imagine jeshi litatetea wananchi eti kisa kauli mbiu 'jeshi la wananchi JWTZ' mbele ya dada yake au mjomba yake. Hii ingewezekana kwa watu wengine lakini sio hawa watu weusi wa kwetu akipata tu kile anachokitaka analizika, solidarity inakaa pembeni inabaki loyalty kwa mtu aliyekubaliana nae.
Bila kuwasahau hawa matajiri, wasanii na watu wengine walioko juu. Yani hawa wanasapoti kwakuwa wanakuwa na access ya kufanya biashara bila vikwazo vya aina yoyote ile. Wamekubaliana wao ndio wawe wao hawa walioko chini waendelee kuwa chini ambao ndio wananchi wenye nchi yao.
Kiufupi watu wenye walipata furusa ya kwanza wamekubaliana kila huyo anyonye sehemu moja ya chuchu kati ya zile kwenye ng'ombe (nchi).
Ili kuweza kuvuruga au kuvunja huu mfumo ni either vita vitokee. Nakumbuka urusi waliwahi kuandamana (the way tuliandamana sisi) kumuondoa tsar madarakani kilichowakuta ilikuwa inatisha. Tena afadhali wenyewe walienda kama tu kuomba mabadiliko ya sehemu fulani fulani ya namna nchi inavyoendeshwa lakini sio kumtaka kabisa tsar aachie kiti. Ilitolewa amri moja tu wauwawe. Kwaio hata nyie msije kujidanganya tena eti mkasema maandamano ya amani mtashangaa tu wanaopen fire kwamba mnadai katiba ikowapi tuwabadulie tuwapatie.
Baada ya vita vya kwanza askari wa tsar waaminifu wote walikufa hivyo baada ya maandamano ya pili, alivyotoa amri kwa hawa askari wapya walikataa kuwaua ndugu zao. Na utawala wake automatically ukaishia hapo.
Hii ya vita kama ikishindikana viongozi wa upinzani wanaweza kufanya makubaliano kama ilivyokua kwa hitler. Hitler alikaa sana jela mwisho wa siku akakubaliana na watawala na kupewa nafsi fulani ya juu katika serikali kisha akaanza kuact vikali. Yani alitenga tu siku moja ya kuhakikisha anaua viongozi wote walioko juu yake hii ilijulikana kama (the long night of knives) yani sio kwamba eti adui yako umuwekee sumu utegemee eti atakufa. yeye alichinja kabisa. Unaona jinsi hakulizika na madaraka. Hivyo kwanza viongozi wa upinzani wakubali makubaliano kisha waingie kwenye lengo Lao kuu.
Asante na kwahelini