Kuondoka kwa Fei Toto Yanga ni mwanzo wa Taifa kumpata Fei mwingine

godknows

Member
Joined
Apr 7, 2016
Posts
29
Reaction score
47
Kwanza nawasalimu wakuu, nawatakieni pia heri ya christmas kwa wale walioweza kuiona, Mungu akitujaalia tuonane mwaka mpya kwa kishindo.

Baada ya salaam hizo hapo juu naomba nijikite kwenye mada kama nilivyoianika hapo juu. Kwanza nikiri mimi ni mpenzi wa msimamo wa kati wa Yanga S.C. Sijawahi kuleta nyuzi hapa jukwaani zaidi ya kupita na kusoma nyuzi za wadau.

Taifa letu lilipata bahati ya kupata kiungo machachali na mwenye nyota ya kupendwa na mashabiki kwa jina la Feisal Salum Abdallah wengi wakimuita "Fei Toto" kutoka zanzibar. Fei ni mchezaji mzuri na ukiongezea kujituma na nidhamu yake Fei ameweza kufikia level ya juu ya soka la Tanzania na East Afrika pengine.

Wapo viungo wengi ambao wamepita vilabu vikubwa na vidogo hapa Tanzania wakiwa na kiwango kama cha Fei au kumzidi kabisa lakini wameahindwa kufika level ya mafanikio aliyofika Fei. Mfano ni Salum Telela, marehem Godfrey Bony, Sure boy, Sospeter Bajana, mkude n.k. Hawa wote ni wakali lakini umaarufu wao haujafikia level ya Fei kwa sababu kadhaa ikiwemo uzanzibar na uyanga.

Yanga wasing'ang'anie kubaki nae ni mda wa kuwapa nafasi na kuwaamini wachezaji wengine waweze kuonesha uwezo wao huenda ikawapelekea kupata mtu sahihi zaidi yake.
Mwisho kabisa namwomba kocha aweze kupanga kikosi na mfumo bila ya Fei ili tuanze kuzoea haya maisha ya kuishi bila yeye.
YANGA TUACHE LAWAMA KWA FEI, LILIKUWA NI SUALA LA MUDA MAISHA BILA YA FEI PALE YANGA.

kukuruku
 
Feisal mpaka tunavyoongea ni mchezaji wa Yanga, awe amepatia au amekosea bado hajatimiza vogezo vya kuwa mchezaji huru. Kama atarudi kambini na kupangwa akisubiri hatima yake hakutakuwa na kosa. Ni kama mtumishi mtoro kazini anaporejea ataendelea na kazi hadi hatima yake itakapofikiwa.
 
Kwanza nawasalimu wakuu, nawatakieni pia heri ya christmas kwa wale walioweza kuiona, Mungu akitujaalia tuonane mwaka mpya kwa kishindo.
Baada ya salaam hizo hapo juu naomba nijikite kwenye mada kama nilivyoianika hapo juu. Kwanza nikiri mimi ni mpenzi wa msimamo wa kati wa Yanga S.C. Sijawahi kuleta nyuzi hapa jukwaani zaidi ya kupita na kusoma nyuzi za wadau.
Taifa letu lilipata bahati ya kupata kiungo machachali na mwenye nyota ya kupendwa na mashabiki kwa jina la Feisal Salum Abdallah wengi wakimuita "Fei Toto" kutoka zanzibar. Fei ni mchezaji mzuri na ukiongezea kujituma na nidhamu yake Fei ameweza kufikia level ya juu ya soka la Tanzania na East Afrika pengine.
Wapo viungo wengi ambao wamepita vilabu vikubwa na vidogo hapa Tanzania wakiwa na kiwango kama cha Fei au kumzidi kabisa lakini wameahindwa kufika level ya mafanikio aliyofika Fei. Mfano ni Salum Telela, marehem Godfrey Bony, Sure boy, Sospeter Bajana, mkude n.k. Hawa wote ni wakali lakini umaarufu wao haujafikia level ya Fei kwa sababu kadhaa ikiwemo uzanzibar na uyanga.
Yanga wasing'ang'anie kubaki nae ni mda wa kuwapa nafasi na kuwaamini wachezaji wengine waweze kuonesha uwezo wao huenda ikawapelekea kupata mtu sahihi zaidi yake.
Mwisho kabisa namwomba kocha aweze kupanga kikosi na mfumo bila ya Fei ili tuanze kuzoea haya maisha ya kuishi bila yeye.
YANGA TUACHE LAWAMA KWA FEI, LILIKUWA NI SUALA LA MUDA MAISHA BILA YA FEI PALE YANGA.

kukuruku
Mkuu Umezunguuuka Weee....Lakini Madini kwenye andiko Lako yapo Kwenye Sentensi Ya Mwisho....' YANGA TUACHE LAWAMA '

Nakumbuka Manara Ushauri Wake Wa mwanzo alipoingia Utopoloni ilikuwa huo...!

Hapo Kwa Fei.. Mwisho Mtamtaja 'Karia' ndo kamhamisha Fei ngoja tusubiri.
 
Back
Top Bottom