Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapinzani wamemvua sanda.Nimetafakari nikakumbuka story ya jamaa waliokuwa wanamkimbiza mwizi ila hawamjui ( hawana target). Kufika sehemu wakaanza kuulizana mwizi yuko wapi kila mtu hata mimi sijui.
Kuondoka kwa JPM kumewavua nguo wapinzani.
1: Imethibitika huwa wanapinga watu na sio mfumo uliopo dhidi ya mfumo mbadala wanaouamini.
2: Sasa hivi kama wamepigwa butwaa wanashindwa wanzie wapi. Wampinge mama au washambulie Marehemu. Wapowapo tu bila dira.
3: Hawana dai moja lenye consistency ambalo hata kama chama tawala kibadilishe mtawala wao wapigekelele yenye kiwango hichohicho. Ni kama watu wanaofukuza upepo, unakoelekea nak wanakimbizia huko.
4: Sasa hivi ndio ilikuwa fursa ya kutushawishi wananchi maana mambo mengi yako neutral. Ila naona kama wanaviziavizia kutafuta viudhaifu wapate pa kuanzia kufanya mihadhara.
5: Wanaichukia CCM wakati wanamsifia Rais wa CCM. Haijulikani wakati uliopita walikuwa wanampinga rais au taasisi nzima iliyokuwa inatawala maana wanayemsifu ndiye mshauri pia wa yaliyopita.
Wapinzani mmeacha ombwe kubwa sana, akitokea mtu mwenye akili na rasilimali fedha na ushawishi anaweza kuanzisha chama bora msimu huu kinachoweza kufuta chadema, cuf,ACT n.k maana wameshindwa kujua kuna mapinduzi makubwa sana ya kimtazamo wa kisiasa hadi kwa mtanzania asiyejua kitu sasa kuliko miaka 6 iliyopita. CCM wanajitahidi kuwa Agile wakinyumbuka kila kukicha wakati wenzao wako rigid wakiishi kwa kitegemea tuhuma na tetesi na sio mipango.
Yangu ni hayo tu.
Uchonganishi Mama kakataa keanu hamumwelewi.
Nimetafakari nikakumbuka story ya jamaa waliokuwa wanamkimbiza mwizi ila hawamjui (hawana target). Kufika sehemu wakaanza kuulizana mwizi yuko wapi kila mtu hata mimi sijui.
Kuondoka kwa JPM kumewavua nguo wapinzani.
1: Imethibitika huwa wanapinga watu na sio mfumo uliopo dhidi ya mfumo mbadala wanaouamini.
2: Sasa hivi kama wamepigwa butwaa wanashindwa wanzie wapi. Wampinge mama au washambulie Marehemu. Wapowapo tu bila dira.
3: Hawana dai moja lenye consistency ambalo hata kama chama tawala kibadilishe mtawala wao wapigekelele yenye kiwango hichohicho. Ni kama watu wanaofukuza upepo, unakoelekea nak wanakimbizia huko.
4: Sasa hivi ndio ilikuwa fursa ya kutushawishi wananchi maana mambo mengi yako neutral. Ila naona kama wanaviziavizia kutafuta viudhaifu wapate pa kuanzia kufanya mihadhara.
5: Wanaichukia CCM wakati wanamsifia Rais wa CCM. Haijulikani wakati uliopita walikuwa wanampinga rais au taasisi nzima iliyokuwa inatawala maana wanayemsifu ndiye mshauri pia wa yaliyopita.
Wapinzani mmeacha ombwe kubwa sana, akitokea mtu mwenye akili na rasilimali fedha na ushawishi anaweza kuanzisha chama bora msimu huu kinachoweza kufuta Chadema, CUF, ACT n.k maana wameshindwa kujua kuna mapinduzi makubwa sana ya kimtazamo wa kisiasa hadi kwa mtanzania asiyejua kitu sasa kuliko miaka 6 iliyopita. CCM wanajitahidi kuwa agile wakinyumbuka kila kukicha wakati wenzao wako rigid wakiishi kwa kitegemea tuhuma na tetesi na sio mipango.
Yangu ni hayo tu.
Labda kama unawaongelea wapinzani kama Mrema, Lipumba, Mbatia, Zitto , nk.Nimetafakari nikakumbuka story ya jamaa waliokuwa wanamkimbiza mwizi ila hawamjui (hawana target). Kufika sehemu wakaanza kuulizana mwizi yuko wapi kila mtu hata mimi sijui.
Kuondoka kwa JPM kumewavua nguo wapinzani.
1: Imethibitika huwa wanapinga watu na sio mfumo uliopo dhidi ya mfumo mbadala wanaouamini.
2: Sasa hivi kama wamepigwa butwaa wanashindwa wanzie wapi. Wampinge mama au washambulie Marehemu. Wapowapo tu bila dira.
3: Hawana dai moja lenye consistency ambalo hata kama chama tawala kibadilishe mtawala wao wapigekelele yenye kiwango hichohicho. Ni kama watu wanaofukuza upepo, unakoelekea nak wanakimbizia huko.
4: Sasa hivi ndio ilikuwa fursa ya kutushawishi wananchi maana mambo mengi yako neutral. Ila naona kama wanaviziavizia kutafuta viudhaifu wapate pa kuanzia kufanya mihadhara.
5: Wanaichukia CCM wakati wanamsifia Rais wa CCM. Haijulikani wakati uliopita walikuwa wanampinga rais au taasisi nzima iliyokuwa inatawala maana wanayemsifu ndiye mshauri pia wa yaliyopita.
Wapinzani mmeacha ombwe kubwa sana, akitokea mtu mwenye akili na rasilimali fedha na ushawishi anaweza kuanzisha chama bora msimu huu kinachoweza kufuta Chadema, CUF, ACT n.k maana wameshindwa kujua kuna mapinduzi makubwa sana ya kimtazamo wa kisiasa hadi kwa mtanzania asiyejua kitu sasa kuliko miaka 6 iliyopita. CCM wanajitahidi kuwa agile wakinyumbuka kila kukicha wakati wenzao wako rigid wakiishi kwa kitegemea tuhuma na tetesi na sio mipango.
Yangu ni hayo tu.
Usivute bangi tenaNimetafakari nikakumbuka story ya jamaa waliokuwa wanamkimbiza mwizi ila hawamjui (hawana target). Kufika sehemu wakaanza kuulizana mwizi yuko wapi kila mtu hata mimi sijui.
Kuondoka kwa JPM kumewavua nguo wapinzani.
1: Imethibitika huwa wanapinga watu na sio mfumo uliopo dhidi ya mfumo mbadala wanaouamini.
2: Sasa hivi kama wamepigwa butwaa wanashindwa wanzie wapi. Wampinge mama au washambulie Marehemu. Wapowapo tu bila dira.
3: Hawana dai moja lenye consistency ambalo hata kama chama tawala kibadilishe mtawala wao wapigekelele yenye kiwango hichohicho. Ni kama watu wanaofukuza upepo, unakoelekea nak wanakimbizia huko.
4: Sasa hivi ndio ilikuwa fursa ya kutushawishi wananchi maana mambo mengi yako neutral. Ila naona kama wanaviziavizia kutafuta viudhaifu wapate pa kuanzia kufanya mihadhara.
5: Wanaichukia CCM wakati wanamsifia Rais wa CCM. Haijulikani wakati uliopita walikuwa wanampinga rais au taasisi nzima iliyokuwa inatawala maana wanayemsifu ndiye mshauri pia wa yaliyopita.
Wapinzani mmeacha ombwe kubwa sana, akitokea mtu mwenye akili na rasilimali fedha na ushawishi anaweza kuanzisha chama bora msimu huu kinachoweza kufuta Chadema, CUF, ACT n.k maana wameshindwa kujua kuna mapinduzi makubwa sana ya kimtazamo wa kisiasa hadi kwa mtanzania asiyejua kitu sasa kuliko miaka 6 iliyopita. CCM wanajitahidi kuwa agile wakinyumbuka kila kukicha wakati wenzao wako rigid wakiishi kwa kitegemea tuhuma na tetesi na sio mipango.
Yangu ni hayo tu.
Utakuwa Mhutu uliyejivika usukuma wewe. Rudini kwenu BurundiMzee wa MIGA alibobea kutukana. Sasa hivi hana pa kukanyagia.
Wewe unajua madai yao,lakini unajifanya hujui kama ni KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZINimetafakari nikakumbuka story ya jamaa waliokuwa wanamkimbiza mwizi ila hawamjui (hawana target). Kufika sehemu wakaanza kuulizana mwizi yuko wapi kila mtu hata mimi sijui.
Kuondoka kwa JPM kumewavua nguo wapinzani.
1: Imethibitika huwa wanapinga watu na sio mfumo uliopo dhidi ya mfumo mbadala wanaouamini.
2: Sasa hivi kama wamepigwa butwaa wanashindwa wanzie wapi. Wampinge mama au washambulie Marehemu. Wapowapo tu bila dira.
3: Hawana dai moja lenye consistency ambalo hata kama chama tawala kibadilishe mtawala wao wapigekelele yenye kiwango hichohicho. Ni kama watu wanaofukuza upepo, unakoelekea nak wanakimbizia huko.
4: Sasa hivi ndio ilikuwa fursa ya kutushawishi wananchi maana mambo mengi yako neutral. Ila naona kama wanaviziavizia kutafuta viudhaifu wapate pa kuanzia kufanya mihadhara.
5: Wanaichukia CCM wakati wanamsifia Rais wa CCM. Haijulikani wakati uliopita walikuwa wanampinga rais au taasisi nzima iliyokuwa inatawala maana wanayemsifu ndiye mshauri pia wa yaliyopita.
Wapinzani mmeacha ombwe kubwa sana, akitokea mtu mwenye akili na rasilimali fedha na ushawishi anaweza kuanzisha chama bora msimu huu kinachoweza kufuta Chadema, CUF, ACT n.k maana wameshindwa kujua kuna mapinduzi makubwa sana ya kimtazamo wa kisiasa hadi kwa mtanzania asiyejua kitu sasa kuliko miaka 6 iliyopita. CCM wanajitahidi kuwa agile wakinyumbuka kila kukicha wakati wenzao wako rigid wakiishi kwa kitegemea tuhuma na tetesi na sio mipango.
Yangu ni hayo tu.
Naona ubongo umefikia kwenye elasticity yake mwisho nikikustretch zaidi ya hapo unachizi.Utakuwa Mhutu uliyejivika usukuma wewe. Rudini kwenu Burundi
msisitizo wa madai uko wapi mkuu.Wewe unajua madai yao,lakini unajifanya hujui kama ni KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI
Kumewaumbua baadhi ya wana CCM maana CAG amepata upenyo wa kuwataarifu hadharani... Wateule wake walikuwa hawatajwi hadharani kwa wizi au makosa mengineNimetafakari nikakumbuka story ya jamaa waliokuwa wanamkimbiza mwizi ila hawamjui (hawana target). Kufika sehemu wakaanza kuulizana mwizi yuko wapi kila mtu hata mimi sijui.
Kuondoka kwa JPM kumewavua nguo wapinzani.
1: Imethibitika huwa wanapinga watu na sio mfumo uliopo dhidi ya mfumo mbadala wanaouamini.
2: Sasa hivi kama wamepigwa butwaa wanashindwa wanzie wapi. Wampinge mama au washambulie Marehemu. Wapowapo tu bila dira.
3: Hawana dai moja lenye consistency ambalo hata kama chama tawala kibadilishe mtawala wao wapigekelele yenye kiwango hichohicho. Ni kama watu wanaofukuza upepo, unakoelekea nak wanakimbizia huko.
4: Sasa hivi ndio ilikuwa fursa ya kutushawishi wananchi maana mambo mengi yako neutral. Ila naona kama wanaviziavizia kutafuta viudhaifu wapate pa kuanzia kufanya mihadhara.
5: Wanaichukia CCM wakati wanamsifia Rais wa CCM. Haijulikani wakati uliopita walikuwa wanampinga rais au taasisi nzima iliyokuwa inatawala maana wanayemsifu ndiye mshauri pia wa yaliyopita.
Wapinzani mmeacha ombwe kubwa sana, akitokea mtu mwenye akili na rasilimali fedha na ushawishi anaweza kuanzisha chama bora msimu huu kinachoweza kufuta Chadema, CUF, ACT n.k maana wameshindwa kujua kuna mapinduzi makubwa sana ya kimtazamo wa kisiasa hadi kwa mtanzania asiyejua kitu sasa kuliko miaka 6 iliyopita. CCM wanajitahidi kuwa agile wakinyumbuka kila kukicha wakati wenzao wako rigid wakiishi kwa kitegemea tuhuma na tetesi na sio mipango.
Yangu ni hayo tu.
Wasikilize vizuri viongozi wa vyama va upinzani pamoja na wanachamawao na mashabiki wa upinzanimsisitizo wa madai uko wapi mkuu.
Hasa kwenye loophole hii ambapo kiongozi mpya ameingia na anaonyesha kusikiliza.