Kuondoka kwa Hayati Magufuli kumewavua nguo wapinzani

Marehemu dikiteta magufuli alikoleza moto matatizo ya nchi hii, kifo cha dikiteta huyu kimekuwa si ahueni kwa wapinzani tu, Bali kimeleta ahueni na kwa wanaccm na taifa kwa ujumla
 
Wapinzani wamemvua sanda.
 

Ccm wananyumbulika kwa kura za kwenye mabeg? Peleka utoto mbali. Kama ccm ingekuwa inasimama kama taasisi na sio mtu, kwenye hutuba za huyo mama ungeendelea kusikia maneno vita vya kiuchumi, mabeberu, wanyonge nk.
 
Labda kama unawaongelea wapinzani kama Mrema, Lipumba, Mbatia, Zitto , nk.

Mpinzani wa kweli huyu hapa chini, embu msome uone anachosema kuhusu Samia... huyu kasha declare kabisa kuwa kuondoka kwa Magufuli ni blessing in disguise but Samia inabidi ajutie na kuomba msamaha wa madhambi ya mtangulizi wake ili awe na moral authority ya kujitofautisha.

 
Usivute bangi tena
 
Wewe unajua madai yao,lakini unajifanya hujui kama ni KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI
 
Kinachopingwa ni mfumo, na ukumbuke huo mfuno unaendeshwa na watu( magu alijimilikisha kila kitu kikawa n yy tu hakuitaji hata ushauri) ndo maana unaona kama alokuwa akipingwa n Magufuli.
Rejea bunge la miaka yote lililokuwa na upinzani ndani yake fuatilia hoja zake utagundua kilikuwa kinaongelewa mtu or mfumo.
 
Wewe unajua madai yao,lakini unajifanya hujui kama ni KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI
msisitizo wa madai uko wapi mkuu.

Hasa kwenye loophole hii ambapo kiongozi mpya ameingia na anaonyesha kusikiliza.
 
Kumewaumbua baadhi ya wana CCM maana CAG amepata upenyo wa kuwataarifu hadharani... Wateule wake walikuwa hawatajwi hadharani kwa wizi au makosa mengine
 
msisitizo wa madai uko wapi mkuu.

Hasa kwenye loophole hii ambapo kiongozi mpya ameingia na anaonyesha kusikiliza.
Wasikilize vizuri viongozi wa vyama va upinzani pamoja na wanachamawao na mashabiki wa upinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…