Hapa naungana na wewe
ndo maana tunasema mwamedi mjanja mjanja sana kwani we hutueliwiBasi hata yeye mwenyewe alidanganya. Kwa mujibu wa caption yake Instagram alisema anataka kuwa karibu na familia yake.
Kwanini Sasa useme mo ndo kadanganya?? Je kama nayeye alidanganywa na kocha mwenyewe
Unakua mgumu kuelewa au hutaki kuelewa. Maelezo ya kocha mwenyewe kasema hicho alichosema Mudi. Sasa swala la familia ya mtu mwingine kwanini umlaumu Mudi?ndo maana tunasema mwamedi mjanja mjanja sana kwani we hutueliwi
Sasa kwanini hakwenda Belgium?
Siku chache tu ametia Nanga Morroco
Sasa bila kupewa saundi singeanzisha balaa lazima mudanganywe ili mtulie.Unakua mgumu kuelewa au hutaki kuelewa. Maelezo ya kocha mwenyewe kasema hicho alichosema Mudi. Sasa swala la familia ya mtu mwingine kwanini umlaumu Mudi?
Kwanini hakwenda kwao na yote hayo yeye ndo anajua kama alidanganya ili atengue mkataba au "matatizo ya kifamilia" yameisha
Okey tumalize swala moja kwahiyo hamna ujanja janja wa Mudi hapo kama "alipigwa saundi" na akalegeaSasa bila kupewa saundi singeanzisha balaa lazima mudanganywe ili mtulie...
Mudi pamoja na kocha ndo wamewapiga saundi ujue mudi bahili sana alipoona Morroco wamepanda Dau na yeye Pesa zake anazipenda sana akala njama na kocha ili asionekane kama kashindwa kutoa pesaOkey tumalize swala moja kwahiyo hamna ujanja janja wa Mudi hapo kama "alipigwa saundi" na akalegea
5g tuna deal na big boys wa africa..GROUP Z YA CAF CHAMPIONS LEAGUE GROUP ..YANGA UTOPOLO,KILUVYA UTD,SINGIDA UTD,AFC ARUSHASasa bila kupewa saundi singeanzisha balaa lazima mudanganywe ili mtulie.
Sasa subiri mletewe kocha wa Bei chee ni mwendo wa 5G
Ukienda Congo unakula Hamsa ukienda Misri unakula Hamsa ukienda Sudani Hamsa Hadi akili iwakae sawa
ANAKUJA KICHA WA ZAMANI WA AL ALHY MWAKA HUU LAZIMA MCHUCHUMAE UTOPOLOMudi pamoja na kocha ndo wamewapiga saundi ujue mudi bahili sana alipoona Morroco wamepanda Dau na yeye Pesa zake anazipenda sana akala njama na kocha ili asionekane kama kashindwa kutoa pesa
Kibaya zaidi Mo kamuharibu Hadi dada wa watu Barba nae kawa muongo kinomaHabari wakubwa
Moja moja twende kwenye fact awali kulikua na sinto fahamu juu ya kuondoka kwa Seven msemo wa "time will tell" umekuja na majibu kamili...
sasa hapo la ajabu nilipi mpaka ukaja hapa kuanzisha uzi kocha kuondoka pia nayo ishu.Habari wakubwa
Moja moja twende kwenye fact awali kulikua na sinto fahamu juu ya kuondoka kwa Seven msemo wa "time will tell" umekuja na majibu kamili
Awali imeripotiwa aliondoka kwasababu matatizo ya kifamilia mambo hadharani hakuna kigugumizi Tena kwenye hili Donge Nono alilolipata Morocco kwenye Club ya FAR RABAT ndo limemkimbiza Simba
View attachment 1672994
Mo aweke Bilion zetu 20 mezani hii aibu ya mwaka hatutaki Tena bla bla bla!!!!
MASKINI UTOPOLO MNASIKITISHA SANA ,MMEFUKUZA MAKOCHA WANGAPI AKIWEPO SVEN, ANAKUJA KOCHA WA ALHY ALY WA ZAMANI YAANI MWAKA HUU MMEINGIA CHA KIKE MTACHUCHUMAAKibaya zaidi Mo kamuharibu Hadi dada wa watu Barba nae kawa muongo kinoma
Hamna uwezo wa kumlipa kocha aliewahi kufundisha Al ahlyMASKINI UTOPOLO MNASIKITISHA SANA ,MMEFUKUZ AMAKOCHA WANGU AKIWEPO SVEN, ANAKUJA KOCHA WA ALHY ALY WA ZAMANI YAANI MWAKA HUU MMEINGIA CHA KIKE MTACHUCHUMAA