Kuondoka kwa kocha wa Simba MO alitudanganya tatizo ni Offer imejulikana

Kuondoka kwa kocha wa Simba MO alitudanganya tatizo ni Offer imejulikana

Habari wakubwa

Moja moja twende kwenye fact awali kulikua na sinto fahamu juu ya kuondoka kwa Seven msemo wa "time will tell" umekuja na majibu kamili


Awali imeripotiwa aliondoka kwasababu matatizo ya kifamilia mambo hadharani hakuna kigugumizi Tena kwenye hili Donge Nono alilolipata Morocco kwenye Club ya FAR RABAT ndo limemkimbiza Simba

View attachment 1672994

Mo aweke Bilion zetu 20 mezani hii aibu ya mwaka hatutaki Tena bla bla bla!!!!
Sasa kama nyie ni mbumbumbu unadhani atafanyaje,mwenyekiti wa timu hajui hata kuwa kocha ameondokaje........Asante Rage kwa jina zuri ulilowapa mikia
 
Bado Mnamsikiliza Mudi Jamani?
255788363637_status_3db06ab39ce34996a4242f528e7a20c7.jpeg
 
Back
Top Bottom