Che Mudii acha Janja janja weka 20bln tufanyie kazi
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama nyie ni mbumbumbu unadhani atafanyaje,mwenyekiti wa timu hajui hata kuwa kocha ameondokaje........Asante Rage kwa jina zuri ulilowapa mikiaHabari wakubwa
Moja moja twende kwenye fact awali kulikua na sinto fahamu juu ya kuondoka kwa Seven msemo wa "time will tell" umekuja na majibu kamili
Awali imeripotiwa aliondoka kwasababu matatizo ya kifamilia mambo hadharani hakuna kigugumizi Tena kwenye hili Donge Nono alilolipata Morocco kwenye Club ya FAR RABAT ndo limemkimbiza Simba
View attachment 1672994
Mo aweke Bilion zetu 20 mezani hii aibu ya mwaka hatutaki Tena bla bla bla!!!!
Timu ni ya Mwamedi!