Pre GE2025 Kuondoka kwa Lissu CHADEMA baada ya kushindwa Uenyekiti kwa fedheha kutakifanya chama kuwa imara zaidi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Infact,

Itakua ni mwisho wa unafiki, migawanyiko, chuki binafsi, tamaa ya madaraka na vita ya maneno miongoni mwa viongozi wake waandamizi na miongoni mwa wanachadema kwa ujumla.

Itakua ni mwanzo wa chadema mpya, moja na yenye ushawishi wa hoja badala ya makelele, kujipa umuhimu na kuzushiana tuhuma na mambo ambayo hayana ushahidi wala uthibitisho.

Kiufupi CHADEMA itakua imepata ahuweni kubwa na muhimu sana kisiasa kwa kujitua mzigo mzito wa viongozi wasio na shukrani, ambapo Chadema imeteseka kuwabeba kwa kipindi kirefu sana.

Hata hivyo,

wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa CHADEMA wamejipanga kuinusuru CHADEMA Taifa kutumbukia kwenye mikono ya mabwenyenye ya magharibi kupitia kibaraka wao mwenye tamaa, mdomo na makelele mengi yasio na mpangilio πŸ’

Soma Pia:
Kila la kheri Yanga Africa dhidi ya Fountain Gate FC.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
TAL ni mzigo kuanzia Ikungi hadi Belgium!
Lissu ni baba wa uongo na roho mbaya...

Yaani yeye maridhiano kumpa kiinua mgongo chake ni sawa, Ila maridhiano kutoa watu magerezani ni ujinga.

Yaani maridhiano yeye kukenua na Samia Ubelgiji tena peke yao ni sawa, Mbowe kutoka kwa Nole Mahabusu na kwenda ikulu tena akiongazana na kiongozi mwenzie ni dhambi.

Maridhiano kumwezesha kupewa pesa za matibabu tuyomchangia ni sawa,, ila maridhiano kuwezesha rudhuku ni dhambi..

Maridhiano kuondoa hali mbaya ya usalama kwake na wengine ili warudi nchini ni sawa,, Ila maridhiano kurejesha shughuli za kisiasa na mikutano ya hadhara ni dhambi....

Yeye kukutana na Abdul kuomba omba hela ni sawa ila aliponyimwa kaanza kumshambulia aliyemuwezesha kukutana na huyu Abdul ze Don,, sema hapo Abdul ulikomesha sana bora ulivyomnyima nasikia alishapewa nyingi sana hadi akanunia mjengo huko maulaya.
Tatizo ni muongo, mbinafsi halafu anajisahau.
 
🀣 🀣 🀣
 
TAL ni tatizo hata kwenye familia yake!
Hata familia haijaweza kumshauri na akishauriwa ni mtu WA vita!

Wajumbe,familia haijamtuma kugombea ,mkataeni !
 
Hadi sasa yanga 4 fg 0
 
Huyu ni CCM Kwa ID hii hii ajabu anapambana na Lissu humu,
Huna kazi za kufanya?
Lissu ushindi ni lazima na Mbowe muda wowote ataachia ngazi
Gentleman,
relax na ujikite kwenye hoja bila mawenge,

wajumbe wamejipanga kumshikisha adabu kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ili iwe fundisho kwa wengine wenye midomo na makelele nchini πŸ’

kumpotosha mwenzio ni kitu mbaya sana
 
Kuondoka kwako duniani kabla ya 2025 kutaifanya Tanzania kupunguza wajinga. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Hivi umehesabu una post ngapi za uzushi mwezi huu kuhusu CHADEMA na viongozi wake na zote zimefemea?πŸ˜‚
 
Chama chochote kitakachopuuza maoni ya wananchi, kilio chake kitakuwa ni kikubwa Sana...
 
Mungu akupatie akili na kama wewe pia akupe kumbusho la milele
 
Na ndio utakuwa Mwisho wa Lisu kisiasa maana hakuna Chama ambacho kitakuwa tayari kupokea mzigo wa kwenda kuvuruga umoja ,utulivu na mshikamano wa chama kutoka kwa mtu mwenye uroho ,uchu na tamaa ya madaraka
 
Mkuu punguza chuki na uongo. Lissu akiondoka CHADEMA, sio hoja kwamba chama kitakuwa imara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…