Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,768
- 4,038
Heshima kwenu wanajamvi.
Wakati huu ambao bado machungu ya kuondokewa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tau Mzee Mkapa hayajaisha, naona ndani ya CCM wana wakati mgumu sana kwani Mzee mkapa ndiye aliyekuwa kama nguzo kwa huyu mgombea anayetetea nafasi kwa mara ya pili.
DALILI ZOTE ZINAONESHA KUWA HEKIMA NA BUSARA ZA MKAPA NDIZO ZILIKUWA ZINAMSAIDIA HUYU, KWANI INAELEKEA ALIKUWA ANAMSIKILIZA MKAPA KULIKO VIONGOZI WENGINE WALIOKWISHA SHIKA HIYO NAFASI.
Sasa chombo kinaelekea kuzama na wote wanamtazama tu kwani kuburi chake ndicho chanzo cha hayo yote.
Namshauri tu kuwa kiburi na dharau ni kitu kibaya, awaangukie wazee waliokwisha shika hizo nafasi kabla yake ikiwa ni serikalini au kwenye chama ili kuokoa jahazi lisizame.