Tarehe 6/2/2024 lilitolewa tangazo la mabadiliko katika uongozi wa mashirika kadhaa likiwemo hilo lililotajwa hapo juu.
Hilo shirika hapo nyuma lilikuwa na historia ya kutofanya vizuri katika majukumu yake mpaka pale ndugu HOSEA KASHIMBA alipoteuliwa kuliongoza shirika hilo.
Malalamiko ya malipo ya wanachama yalifanyiwa kazi na gharama za uendeshaji wa shirika zilipungua sana.
Naandika kuhusu bwana Kashimba kwasababu namfahamu kama mtu mmoja nadra sana kumpata hapa nchini; he is very intelligent, knowledgeable, calm and respectful. He is a real patriotic finance professional.
Unless Samia ameshauriwa kumuondoa hapo na kumpa kazi sehemu nyingine challenging , nchi itakuwa imepoteza huduma za mtu makini sana kwenye mambo ya fedha! Kwa watu wasiojua, huyu bwana Hosea Kashimba has played a big role towards the good performance of CRDB as a member of their board of directors and chairman of their Audit committee!
Huyu bwana ni tunu ambayo nchi haina budi kuitumia vizuri.
Nimeamdika hivi kwa kujua kuwa kuna watu wengi wanakuwa victims wa majungu ili watu wao wateuliwe ili waweze kwenda kula ni sio kufanya kazi. I sincerely hope Hosea Kashimba is not going to be wasted.