- Thread starter
- #41
Kama nilivyosema hapo awali kama unafanya kazi benki unatakiwa kufukuzwa mara moja na kama ulifanyaUnabisha ili uzi uendelee. Sasa sikiliza mimi nimekaa kwenye working committees na steering committees za kwenye hizo benki mbili ndio maana nakuona unaongea mambo usiyofahamu.
Hizi kamati ndio zinasimamia miradi mbalimbali halafu ripoti zake zinapelekwa bodi for ratification. Bodi inaweza kuagiza internal audit waje kukagua hizi ripoti na kazi nzima.
Ripoti ya ukaguzi inayoandaliwa na internal audit ikishapata ratification ya bodi ndipo inasainiwa na wenye mamlaka hayo ndani ya bodi.
Sasa mtu anayepokea, kupitisha na kusaini ripoti huwezi kumpa credit ya utendaji bora. Anafanya sehemu yake lakini sio utendaji.
Hizo bodi zipo kisheria ili kuhakikisha kila mtu anapata usimamizi.
Pata elimu uache kuropoka .
zamani hizo benki hazikuwa na ufanisi kwasababu ya your mediocrity!