Kuondolewa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Watumishi wa Umma (PSSSF)

Kama nilivyosema hapo awali kama unafanya kazi benki unatakiwa kufukuzwa mara moja na kama ulifanya
zamani hizo benki hazikuwa na ufanisi kwasababu ya your mediocrity!
 
You don’t know what you’re writing about! I cannot be your teacher here; you are ignorant of bank administration!
It’s a regulatory requirement that a bank must have a board Audit committee!
Mkuu samahani naomba kuuliza hiyo comnitee board of audit, inahusika moja kwa moja na kazi za auditing au zinasubiri report ya ya auditing yaa ndani ili inijirizishe kuwa mahesabu yako sawa kabla watu wa nje hawahayakagua?
 
Ulivyoelezea wewe ndio sahihi kabisa; baada ya board audit committee kuyapitia mahesabu na kuyapeleka kwenye full board for ratification na baada ya hapo Kuyatangaza to the public.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…