Tetesi: Kuonekana kwa Paka wakubwa mijini. (Big cats sightings in urban areas)

Tetesi: Kuonekana kwa Paka wakubwa mijini. (Big cats sightings in urban areas)

kuna ule msitu wa jeshi pale umepita kwenye ule mto tulikuwa tunaendaga kuchota mchanga mtoni kuna wanyama wengi tu tulikiwa tunakuta nyayo,,,,,na kuna majoka makubwa
 
Muemnajenga utamaduniba kutembekea mbuga za Santana nuwajue
Kama umeniambia mimi basi ntakueleza kuwa nina uelewa mkubwa sana wa wanyama wa porini na nimetembelea karibu mbuga zote za wanyama hapa Tanzania. Interest yangu ipo kwenye wildlife hivyo ninaelewa ninachokiandika. Usiniweke kwenye kundi la wale waliozaliwa Dar na hata Kibaha hawayajui.
 
ID yako mwenyewe "Paka mwesi", iweje usimtambue mwenzako?
 
ID yako mwenyewe "Paka mwesi", iweje usimtambue mwenzako?
Mkuu, nilimtambua kuwa ni paka mkubwa. Mada yangu ina vitu viwili. Moja ni kuuliza kama kuna member wenzangu waliokutana na hali hiyo. Na pili ni kutoa tahadhari kwa wakazi wa maeneo tajwa juu ya kuonekana kiumbe hicho. Na wala sikuja kuulizä yule alikua mnyama gani.
 
Back
Top Bottom