Kuongea kiingereza mbele ya wasiojua kiingereza sio usomi au ujanja ni utumwa

Kuna watu wanatabia ya kuongea kizungu au wanachanganya changanya kiswahil na kizungu ili tu waonekane wajanja au wasomi au tu kupenda sifa. anaona ataonekana mshamba akiongea kiswahili moja kwa 1,kumbe ni ujinga mtupu wenzetu wachina wakienda nchi yoyote hua wanaongea lugha yao nyie mnawaona kama awajasoma,kujua kizungu sio usomi kuna nchi watu wake wanatumia kiingereza bado utakuta wanakabiliwa na tatizo la watu kutojua kusoma na kuandika. HUO NI UTUMWA KUSHOBOKEA LUGHA YA WATU,JE ELIMU YAKO IMEKUKOMBOA AU NDO IMEKUFANYA UWE MJINGA?

Nawakilisha.[/QUOTE]

nafikiri ulitakiwa kusema nawasilisha.
kuwakilisha ni kufanya badala ya mtu fulani, mfn nipo hapa lakini namuwakilisha mzee.
 
wanaojifanya kuongea lugha ya kingereza kwa watu wasiojua mimi huwaona ni wajinga.
 
kwa mslete kiswahili kwenye masomo ya sayansi maana mtaharibu maana kabisa ya hayo masomo.. badilini kugha kwenye masomo ya siasa sheria jiografia lakini si science....unlesss kwamba tunategeneza madawa yetu na mitambo yetu wenyewe...doctor asiejua kiingreza ama engineer kilaza wa english mbona balaa hilooo
 
kuna watu wanatabia ya kuongea kizungu au wanachanganya changanya kiswahil na kizungu ili tu waonekane wajanja au wasomi au tu kupenda sifa. Anaona ataonekana mshamba akiongea kiswahili moja kwa 1,kumbe ni ujinga mtupu wenzetu wachina wakienda nchi yoyote hua wanaongea lugha yao nyie mnawaona kama awajasoma,kujua kizungu sio usomi kuna nchi watu wake wanatumia kiingereza bado utakuta wanakabiliwa na tatizo la watu kutojua kusoma na kuandika. Huo ni utumwa kushobokea lugha ya watu,je elimu yako imekukomboa au ndo imekufanya uwe mjinga?

Nawakilisha.

poa
mia mia kabisa
ile ni lugha tuh kama ilivo kiswahili
sema ulimbukeni umetujaaa baadhi yetu
 
halafu upo kwenye vyombo vya habari vinayoaangaliwa na mamia ya watazania wasiojua 'lugha hiyo ya kigeni'
 
Kuna watu wanatabia ya kuongea kizungu au wanachanganya changanya kiswahil na kizungu ili tu waonekane wajanja au wasomi au tu kupenda sifa. anaona ataonekana mshamba akiongea kiswahili moja kwa 1,kumbe ni ujinga mtupu wenzetu wachina wakienda nchi yoyote hua wanaongea lugha yao nyie mnawaona kama awajasoma,kujua kizungu sio usomi kuna nchi watu wake wanatumia kiingereza bado utakuta wanakabiliwa na tatizo la watu kutojua kusoma na kuandika. HUO NI UTUMWA KUSHOBOKEA LUGHA YA WATU,JE ELIMU YAKO IMEKUKOMBOA AU NDO IMEKUFANYA UWE MJINGA?

Nawakilisha.

Kama sijui Kiswahili na nataka kuongea Kisukuma kwa wasiojua Kisukuma nao ni ushamba/utumwa au ni nini?
 
Nawapongeza wanaomix Lugha wakiongea Hii ina maana kuwa wamejifunza kitu tofauti na tamaduni yao ya kiswahili. Vipi tunapoongea lugha mama na jamaa zetu wa kule kijijini na kuchanganya Kiswahili isiyo lugha yao. Mimi bibi na babu yangu kule Sonjo hawajui Kiswahili. Mwenye kumix ni mazoea tu ya ulimi. Kiswahili pia kimetohoa maneno mengi ya Kiingereza na usisahau ni Lugha ya kujifunza siyo Lugha mama ya WaTz wengi. Kwa hiyo kukimix na Lugha nyingine hakuepukiki
 
Kuna kitu kama chuki hapa!!mchanganyiko na wivu+hasira, mbonsafo mwoli.
Ninahisi kama ni suala la kutojiamini tu. kuchanganya lugha mbele ya watu wasiofahamu mchanganyiko huo ni mbaya sana lakini mahala kama hapa jamvini 'code mixing' kama mnavyoeleza ni poa tu kwani naamini wote ni wafahamu wa lugha hizo
 
Kama sijui Kiswahili na nataka kuongea Kisukuma kwa wasiojua Kisukuma nao ni ushamba/utumwa au ni nini?

lakini hii inayozungumzwa hapa ni tofauti, hapa wanasemwa wale wanaoongea na watu wasiojua kingereza wao wanatumia kingereza na hali mzungumzaji huyo anajua kiswahili ambacho angeweza kutumia kwa watu hao na wakaelewana vizuri sasa anaongea kiswahili anachanganya na kingereza ili aonekane amesoma au yuko juu yao.

sio kwamba anaongea kingereza sababu eti hajui kutumia lugha ambayo wangeeelewana wote kwa vile wote wanaijua.
 
Well, lakini katuchanganya na sie tunaochanganya lugha. Sasa mnategemea niseme Kiswahili kipi wakati naongelea Balance Sheet, Cash-Flow Statement, Discount rates etc? Zamani tukifundishwa na waalimu wa ukweli (namkumbuka Mwalimu wangu wa Kiswahili Primary Mwl Kilyapeka) tuliaambiwa kama unaandika kwa Kiswahili lakini ukalazimika kutumia neno kutoka lugha tofauti basi unaliwekea "inverted commas" hilo neno. Bado mnataka kuniita mshamba wakati ni halali yangu kabisa???
 
mkuu

kwa dhana hiyohiyo tunayoisema ya kuwasiliana ili kuelewana ama kueleweka, wewe unaongea na watu ambao hawakuelewi hayo macash flow, balance sheet, discount rates, inaleta maana kutumia misamiati hiyo?. tena wewe ndio unataka kabisa kuwachanganya maana unawasiliana na watu wasiojua si tu kingereza bali pia technical words sasa unachowaambia kitakuwa kina maana kwao? na kwako pia utakuwa umefikisha huo ujumbe?
maana ya mtu na mtu kuongea ama kuwasiliana ni kuelewana kama hamna kuelewana hakuna maana hiyo ya kuwasiliana. nashauri unapokuwa unawasiliana na watu wasio na uelewa wa unachokisema ni bora kutotumia kabisa maneno ambayo una uhakika hawakuelewi.
mfn, magufuli aende kijijini kuwaeleza mambo ya ujenzi wazee wasiojua kingereza halafu hapohapo aanze kuwapa technical word za ujenzi watampata kweli?
 
Well, lakini katuchanganya na sie tunaochanganya lugha. Sasa mnategemea niseme Kiswahili kipi wakati naongelea Balance Sheet, Cash-Flow Statement, Discount rates etc? Zamani tukifundishwa na waalimu wa ukweli (namkumbuka Mwalimu wangu wa Kiswahili Primary Mwl Kilyapeka) tuliaambiwa kama unaandika kwa Kiswahili lakini ukalazimika kutumia neno kutoka lugha tofauti basi unaliwekea "inverted commas" hilo neno. Bado mnataka kuniita mshamba wakati ni halali yangu kabisa???

nafikiri ukichanganya lugha kwa mwenzako ambaye mnajua lugha hizo mbili si mbaya kwa sababu mnaweza kuwa na sababu za msingi za kutotumia lugha moja pengine hakuna yoyote mnayoijua vizuri. ama mnafanya kwa sababu zingine zozote, isipokuwa tunapotumia kwa watu wasiostahili. hapa ndio tatizo linapokuja,

mfn. unamkuta mtu anabishana na mmachinga anayoonekana kabisa hajui kingereza kuhusu bidhaa anaanza kumchanganyia maneno, hadi vijana wa watu wanachikia na kuanza kusema bwana si uongee kiswahili, kwani wote tunajua hizo lugha? jitu linaendeleea mwisho mmachinga anaanza kumtukana haswa pale na hiyo bidhaa asipoinuua.
 
Kuna watu wanatabia ya kuongea kizungu au wanachanganya changanya kiswahil na kizungu ili tu waonekane wajanja au wasomi au tu kupenda sifa. anaona ataonekana mshamba akiongea kiswahili moja kwa 1,kumbe ni ujinga mtupu wenzetu wachina wakienda nchi yoyote hua wanaongea lugha yao nyie mnawaona kama awajasoma,kujua kizungu sio usomi kuna nchi watu wake wanatumia kiingereza bado utakuta wanakabiliwa na tatizo la watu kutojua kusoma na kuandika. HUO NI UTUMWA KUSHOBOKEA LUGHA YA WATU,JE ELIMU YAKO IMEKUKOMBOA AU NDO IMEKUFANYA UWE MJINGA?

Nawakilisha.[/QUOTE]

nafikiri ulitakiwa kusema nawasilisha.
kuwakilisha ni kufanya badala ya mtu fulani, mfn nipo hapa lakini namuwakilisha mzee.

namaanisha nawawakilisha wahuska
 
Kuna watu wanatabia ya kuongea kizungu au wanachanganya changanya kiswahil na kizungu ili tu waonekane wajanja au wasomi au tu kupenda sifa. anaona ataonekana mshamba akiongea kiswahili moja kwa 1,kumbe ni ujinga mtupu wenzetu wachina wakienda nchi yoyote hua wanaongea lugha yao nyie mnawaona kama awajasoma,kujua kizungu sio usomi kuna nchi watu wake wanatumia kiingereza bado utakuta wanakabiliwa na tatizo la watu kutojua kusoma na kuandika. HUO NI UTUMWA KUSHOBOKEA LUGHA YA WATU,JE ELIMU YAKO IMEKUKOMBOA AU NDO IMEKUFANYA UWE MJINGA?

Nawakilisha.

Just because the Chinese do that, it doesn't mean everybody else should do the same. Just because the Chinese eat rats and snakes doesn't mean Tanzanians should do the same. If you get annoyed while others speak another language you should then just don't pay attention and move on. Every individual is free to speak any language he/she prefers, anytime, anywhere, and in front of anybody. Live free or die!
 
hehe kama katibu wa chama cha mafisadi sidhani kama katibu wa shina alimuelewa maana aliongea kiingereza kigumu kuhusu rushwa na chama chake
 
Just because the Chinese do that, it doesn't mean everybody else should do the same. Just because the Chinese eat rats and snakes doesn't mean Tanzanians should do the same. If you get annoyed while others speak another language you should then just don't pay attention and move on. Every individual is free to speak any language he/she prefers, anytime, anywhere, and in front of anybody. Live free or die!

The "Freedom" you are talking about is called Slavery.
 
Back
Top Bottom