[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ngoja waje na mapovu yaoooohakuna kitu kinakera kama mwanaume anakuambia anakupenda halaf wala halikutumii pesa my friend unajisumbua tu mwanaume unatakiwa ushawishi
Hahaha, kumbe siku ile mlikua wote ngoja aje hapa tutaonana.Siyo hata mabibo unakumbuka ulipiga simu ukasema bro mm naondoka bwana naenda burundi sjui rwanda unajua nilikuwa wapi?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nikikupigia sm usibifanyie hiv tafadhali
Nisamehe bure usije ukafukua makaburi najua kuna mengi alikwambia kuhusu mimi, jinsi nilivyo kazi yangu na hata mazingira nnayofanyia.Ndo maana nakwambia tuliza mshono mm nina mabomu makali sana tena sanaaa
Hahaaa. Wasamehe nao wanajaribu bahati yao.Yani huwa nakereka kuongea na simu na mtu nisiyempenda unajua kwa sababu nimeshamweleza kila kitu lakini bado anazidi kuganda kama ruba huyu lazima nimfanyie unyamaaa unyamani tu.
Unakuta mwanaume amekutongoza umemkataaa anaendelea kukusumbua hawa ndo wanakera zaidi na story zao za porojo blah blah kibao huwa napata moto mimi Demiss hasira mpaka kwenye koo.
Yani watu kama hawa simu 24 hours sms kibao whastap alafu wanapenda video call yani huwa napata motooo mimi nachukia.
Yani nikiona tu simu inaitaaa haki nitasonyaaaaa sonyooo la haja alafu nabonyeza kidude cha kupunguzia sauti ili nisisikie kelele za kuita simu.
Nikiona unapiga sana napokea simu huku nimekunja mdomoo karibia unafika sikioni [emoji10] [emoji10] [emoji10] sipendi kero hasa mtu nisiyempenda.
Nikipokea simu yako lazima niweke kwenye kwapa ili uongeee naloo sipendag kerooo kabisaa au najifanya halllo halllo kama sisikii au network inasumbua.
Nikikata simu nakusindikiza na neno la hajaaaaaa.
Jamani kuna wanaume wanasumbua kwenye simu mpaka unataman kumpa makondeee yani haelewi huwa wananipa moto mimi.
Mrs Jr.
Huo sasa ni umbeaaa wewe ni shemeji yangu tu hakuna lolote nakupenda tu usiogopeeeee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mambo yako ni motoooooNisamehe bure usije ukafukua makaburi najua kuna mengi alikwambia kuhusu mimi, jinsi nilivyo kazi yangu na hata mazingira nnayofanyia.
Nambie kwanza wakati napiga sim mlikua wapi.Huo sasa ni umbeaaa wewe ni shemeji yangu tu hakuna lolote nakupenda tu usiogopeeeee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mambo yako ni motooooo