Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

hakuna kitu kinakera kama mwanaume anakuambia anakupenda halaf wala halikutumii pesa my friend unajisumbua tu mwanaume unatakiwa ushawishi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ngoja waje na mapovu yaoooo
 
Hizo namba zenu hua mnaziandika kwenye vipeperushi au mabango gani hadi mnapigiwa na watu msio wapenda? Au mnawapa namba wenyewe?
Huwez jua kama baadae atakukeraaa
 
Ndo maana nakwambia tuliza mshono mm nina mabomu makali sana tena sanaaa
Nisamehe bure usije ukafukua makaburi najua kuna mengi alikwambia kuhusu mimi, jinsi nilivyo kazi yangu na hata mazingira nnayofanyia.
 
Yani huwa nakereka kuongea na simu na mtu nisiyempenda unajua kwa sababu nimeshamweleza kila kitu lakini bado anazidi kuganda kama ruba huyu lazima nimfanyie unyamaaa unyamani tu.

Unakuta mwanaume amekutongoza umemkataaa anaendelea kukusumbua hawa ndo wanakera zaidi na story zao za porojo blah blah kibao huwa napata moto mimi Demiss hasira mpaka kwenye koo.

Yani watu kama hawa simu 24 hours sms kibao whastap alafu wanapenda video call yani huwa napata motooo mimi nachukia.

Yani nikiona tu simu inaitaaa haki nitasonyaaaaa sonyooo la haja alafu nabonyeza kidude cha kupunguzia sauti ili nisisikie kelele za kuita simu.

Nikiona unapiga sana napokea simu huku nimekunja mdomoo karibia unafika sikioni [emoji10] [emoji10] [emoji10] sipendi kero hasa mtu nisiyempenda.

Nikipokea simu yako lazima niweke kwenye kwapa ili uongeee naloo sipendag kerooo kabisaa au najifanya halllo halllo kama sisikii au network inasumbua.
Nikikata simu nakusindikiza na neno la hajaaaaaa.

Jamani kuna wanaume wanasumbua kwenye simu mpaka unataman kumpa makondeee yani haelewi huwa wananipa moto mimi.


Mrs Jr.
Hahaaa. Wasamehe nao wanajaribu bahati yao.

Nadhani tupo tusiokukera
 
Nisamehe bure usije ukafukua makaburi najua kuna mengi alikwambia kuhusu mimi, jinsi nilivyo kazi yangu na hata mazingira nnayofanyia.
Huo sasa ni umbeaaa wewe ni shemeji yangu tu hakuna lolote nakupenda tu usiogopeeeee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mambo yako ni motooooo
 
Tulia usipate shida bi shost, ngoja nikupe mbinu mpya. Siku nyingine akikupigia kama uko nyumbani pandisha sauti ya TV au radio to the maximum ili msisikilizane kisha pokea simu. Akipiga tena repeat the same procedure hadi akome. Kusema kweli wadada ving'ang'anizi wanakera sana. Mimi huwa natumia techniques hizi kuwakomesha akina dada wasumbufu maana nanyi huwa mnasumbua sana.
 
Back
Top Bottom