Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Nimekataliwa pia ngoja niache kusumbua
 
Hivi mwanaume umekamilika inakuwaje unalazimisha kuongea na mwanamke ambae anaonesha wazi hana interest ya kuongea na wewe? Mimi nakupigia simu mara moja hujapokea, napiga mara ya pili hujapokea hutasikia tena simu yangu. Tena kurahisisha huwa nafuta namba yako.
 
Mimi nataka unijuze kupanda ni nini?

Post nyingi sana nimeziona, hakuna hata aliyeonyesha nini kupenda.
Let me explain the meaning of love
Love is pain
Love is a commitment
Love is a self sacrifice.
Ukiwa na ujumlisho wa hivyo vyote kwa jumla unapata neno kupenda.
Nakupa maana yake.

SACRIFICE :Kuamua kuwa na mtu usiyemjua chanzo chake.
COMMITTED :HE Or She, being ready for sacrifice of their bodies.
PAIN : for women during care of pregnancy and birth.
How those 3 tings contribute to the word kupenda is as follows.
Mtoto atakayetokana from those above three subject s is where we can have a meaningful of kupenda.
Mtoto anaweza vunja tv, badala ya kuchukia unacheka, then unakwenda nunua nyingine. Hiyo ndio maana ya kupenda .
Unamlisha chakula, anakipuliza chote kwenye uso wako huchukii, unacheka na bado unaendelea kumpa chakula kingine, hiyo ndio love.

Sasa huyo unayesema unampenda. Jiulize. Hakuchukizi?
Kama sometimes anakuchukiza jua hakuna kupenda btn.
Hata hy unayemchukia there's no bond ya kupenda hadi useme humependi.
Mimi ni mume
Ninachokipenda ni watoto.
The union btn me and my wife is to find love, and there is no meaning kuwa tulipendana,
Tulikubaliana that all.

Nauliza wana jamvi kati ya mume, mke na mtoto. Yupi ambaye anagusa moyo wako 4 any action?

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Hahaaa. Wasamehe nao wanajaribu bahati yao.

Nadhani tupo tusiokukera
Kama wewe huwa naenjoy sana na mawazo yako ya kibiashara safi sana nataman unipigie kila siku
 
Asante sana hebu kunywa sodaa kwanza
 
Bora wewe kuna wanaume naweza kusema wanafaaa kuwa wodi ya mirembeeee wanasumbua kama vichaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…