Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Kwa haraka haraka sijaelewa hata[emoji23] sina hakika kama nna kichwa kizito au ni umemix mafile humu.Emu nirudie tena kusoma pengine ntatoka na kitu
 
Tusi nzito lenye vitamin ... [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji1] [emoji1] hii ndo nimeiskia,leo tangu mwaka uanze ..

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Kwa haraka haraka sijaelewa hata[emoji23] sina hakika kama nna kichwa kizito au ni umemix mafile humu.Emu nirudie tena kusoma pengine ntatoka na kitu
Imenibid nijibu paragraph ya mwisho tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji444]
Jj na wewe dish linayumba siku hiz chanel zina chenga
 
Aiseeee kuna wengine wanaume wanaiba namba kwa marafiki zako wanaanza kusumbua
Wengine wanapewa namba na wafanyakaz wenzio,halafu hao wenzio wanamwambia usinitaje kama ni mi nimekupa namba,yani mi bila kuniambia ulikotoa namba yangu ntakuchukia
 
Imenibid nijibu paragraph ya mwisho tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji444]
Jj na wewe dish linayumba siku hiz chanel zina chenga
[emoji23] [emoji23] yani nilijua yuko kwenye mada kumbe sijui katoka nje ya mada sijui ni mi ndo sijamuelewa [emoji23][emoji23]em aje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…