Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa haraka haraka sijaelewa hata[emoji23] sina hakika kama nna kichwa kizito au ni umemix mafile humu.Emu nirudie tena kusoma pengine ntatoka na kituMimi nataka unijuze kupanda ni nini?
Post nyingi sana nimeziona, hakuna hata aliyeonyesha nini kupenda.
Let me explain the meaning of love
Love is pain
Love is a commitment
Love is a self sacrifice.
Ukiwa na ujumlisho wa hivyo vyote kwa jumla unapata neno kupenda.
Nakupa maana yake.
SACRIFICE :Kuamua kuwa na mtu usiyemjua chanzo chake.
COMMITTED :HE Or She, being ready for sacrifice of their bodies.
PAIN : for women during care of pregnancy and birth.
How those 3 tings contribute to the word kupenda is as follows.
Mtoto atakayetokana from those above three subject s is where we can have a meaningful of kupenda.
Mtoto anaweza vunja tv, badala ya kuchukia unacheka, then unakwenda nunua nyingine. Hiyo ndio maana ya kupenda .
Unamlisha chakula, anakipuliza chote kwenye uso wako huchukii, unacheka na bado unaendelea kumpa chakula kingine, hiyo ndio love.
Sasa huyo unayesema unampenda. Jiulize. Hakuchukizi?
Kama sometimes anakuchukiza jua hakuna kupenda btn.
Hata hy unayemchukia there's no bond ya kupenda hadi useme humependi.
Mimi ni mume
Ninachokipenda ni watoto.
The union btn me and my wife is to find love, and there is no meaning kuwa tulipendana,
Tulikubaliana that all.
Nauliza wana jamvi kati ya mume, mke na mtoto. Yupi ambaye anagusa moyo wako 4 any action?
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Yaani wewe![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tusi nzito lenye vitamin ... [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji1] [emoji1] hii ndo nimeiskia,leo tangu mwaka uanze ..[emoji23] [emoji23] [emoji23] yamemkuta shoga angu....muha anajiunga cheka zogo kwa ajili ya kupiga story za kigoma na vitongoji vyake.Shost akipokea simu anaongea kidogo afu anaanza kuzungusha mkono alioshika simu(nadhani unajua ile style ya kuzungusha mkono kama unataka kurusha jiwe,yes!)basi akizungusha vile mpigaji simu lazima usikie kama upepo,af ye anaongea uku bado anazungusha mkono kwamba "niko kwenye boda boda ntakupigiaaaaa" anakata kisha anamaliza na tusi zito lenye vitamini
other hahahHivi wewe ni ke au me?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]atakuhadithia stor za mpenzi wake wa darasa la saba
Imenibid nijibu paragraph ya mwisho tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji444]Kwa haraka haraka sijaelewa hata[emoji23] sina hakika kama nna kichwa kizito au ni umemix mafile humu.Emu nirudie tena kusoma pengine ntatoka na kitu
Wengine wanapewa namba na wafanyakaz wenzio,halafu hao wenzio wanamwambia usinitaje kama ni mi nimekupa namba,yani mi bila kuniambia ulikotoa namba yangu ntakuchukiaAiseeee kuna wengine wanaume wanaiba namba kwa marafiki zako wanaanza kusumbua
MpyaaaaaaaTusi nzito lenye vitamin ... [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji1] [emoji1] hii ndo nimeiskia,leo tangu mwaka uanze ..
Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tusi nzito lenye vitamin ... [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji1] [emoji1] hii ndo nimeiskia,leo tangu mwaka uanze ..
Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] yani nilijua yuko kwenye mada kumbe sijui katoka nje ya mada sijui ni mi ndo sijamuelewa [emoji23][emoji23]em ajeImenibid nijibu paragraph ya mwisho tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji444]
Jj na wewe dish linayumba siku hiz chanel zina chenga
[emoji23][emoji23][emoji23], umejua kunichekeshaNambieee nakuzoom tu na hilo jicho golori
Atakua ke uyo,nmeelewa iyo woman,iyo pheno nini sijui sijaielewaId yako inanichanganyaaa ujue
Akaachwa kisa hakufanikiwa kuuza mawese yakeWalikutana kwenye mabehewa mabovu ya treni