Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Mi nachukia kabisa,lingine unaliuliza we nani linabako kucheka cheka na kukwambia otea,mxiieuw niotee nimekua bibi njozi,nachukiaga sana.Huwa nawatukana balaaaaaa mwenzio
Kwanini usiwabuloku tu, kila kona..Huwa nawatukana balaaaaaa mwenzio
Kaamua kukulipua huyu bidada
Yes bbyBabe
Hahaha mimi niibe namba yako kwenye simu ya JJ[emoji23] [emoji23]Aiseeee kuna wengine wanaume wanaiba namba kwa marafiki zako wanaanza kusumbua
Uko gud?Yes bby
Hwehhehheheheheheheheeh wewe umenizidi mpaka mimi utazani mapachaaaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]vituko vyako vyanguMi nachukia kabisa,lingine unaliuliza we nani linabako kucheka cheka na kukwambia otea,mxiieuw niotee nimekua bibi njozi,nachukiaga sana.
Ndo mana hata nikipigiwa na namba ngen hasira zinajaa kabla sijapokea hehehe
Ole wakoHahaha mimi niibe namba yako kwenye simu ya JJ[emoji23] [emoji23]
Unamwambia bebe nikuambie kitu? wenyewe tunajikataaShida yote ya nini? Muombe hela tu uone jinsi atakavyotoka mbio!
Atakuja jf kuandika siledi yenye kichwa cha habari "wadada punguzeni mizinga"Shida yote ya nini? Muombe hela tu uone jinsi atakavyotoka mbio!
Nipo gud bebe....ndio narud dasilamu kuwasalimu wanaume wa dasilamuUko gud?