Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Mi nachukia kabisa,lingine unaliuliza we nani linabako kucheka cheka na kukwambia otea,mxiieuw niotee nimekua bibi njozi,nachukiaga sana.Huwa nawatukana balaaaaaa mwenzio
Ndo mana hata nikipigiwa na namba ngen hasira zinajaa kabla sijapokea hehehe