Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Kujipa tabu ya nini vingreza na mimi wapi na wapi mtoto wa kiswahili mimiNjoo uchukue dictionary shooo maaana anashuka kielizabet balaaaa
Za magadi[emoji23]Na zile sabuni zao ngumuuu kama jiwe
Ata simu yangu pia? Kama ndio niambie niache.Yani huwa nakereka kuongea na simu na mtu nisiyempenda unajua kwa sababu nimeshamweleza kila kitu lakini bado anazidi kuganda kama ruba huyu lazima nimfanyie unyamaaa unyamani tu.
Unakuta mwanaume amekutongoza umemkataaa anaendelea kukusumbua hawa ndo wanakera zaidi na story zao za porojo blah blah kibao huwa napata moto mimi Demiss hasira mpaka kwenye koo.
Yani watu kama hawa simu 24 hours sms kibao whastap alafu wanapenda video call yani huwa napata motooo mimi nachukia.
Yani nikiona tu simu inaitaaa haki nitasonyaaaaa sonyooo la haja alafu nabonyeza kidude cha kupunguzia sauti ili nisisikie kelele za kuita simu.
Nikiona unapiga sana napokea simu huku nimekunja mdomoo karibia unafika sikioni [emoji10] [emoji10] [emoji10] sipendi kero hasa mtu nisiyempenda.
Nikipokea simu yako lazima niweke kwenye kwapa ili uongeee naloo sipendag kerooo kabisaa au najifanya halllo halllo kama sisikii au network inasumbua.
Nikikata simu nakusindikiza na neno la hajaaaaaa.
Jamani kuna wanaume wanasumbua kwenye simu mpaka unataman kumpa makondeee yani haelewi huwa wananipa moto mimi.
Mrs Jr.
Wale wanaochora tattoo kwenye miguu yao ya bia?Nipo gud bebe....ndio narud dasilamu kuwasalimu wanaume wa dasilamu
Ha haa lkn nia yake itakuwa imetimiaAtakuja jf kuandika siledi yenye kichwa cha habari "wadada punguzeni mizinga"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo umeamka je??Wale wanaochora tattoo kwenye miguu yao ya bia?
Niambie shem..Shemeji
Hapo ndo unamwaga sasa. Na unamuomba hela ambayo lazima atoe mijicho[emoji102]Ukiomba hela anakuahidi kesho saa 6 sasa kwa sababu unajua utapata hela loooh hiyo sku jiandae kumpetpet masaa 24 kinachokera na hela hatumi analeta porojooo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ya kwako tenaaa huwa tunalongaaa mpaka asubuhi
Yepi tena?Makubwaa haya
Kurogwa sio tatizo tatizo ni ule Upofu wa Moyo.Utarogwaaaa