Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Kuongea na simu na mtu usiyempenda yataka moyo!

Yani huwa nakereka kuongea na simu na mtu nisiyempenda unajua kwa sababu nimeshamweleza kila kitu lakini bado anazidi kuganda kama ruba huyu lazima nimfanyie unyamaaa unyamani tu.

Unakuta mwanaume amekutongoza umemkataaa anaendelea kukusumbua hawa ndo wanakera zaidi na story zao za porojo blah blah kibao huwa napata moto mimi Demiss hasira mpaka kwenye koo.

Yani watu kama hawa simu 24 hours sms kibao whastap alafu wanapenda video call yani huwa napata motooo mimi nachukia.

Yani nikiona tu simu inaitaaa haki nitasonyaaaaa sonyooo la haja alafu nabonyeza kidude cha kupunguzia sauti ili nisisikie kelele za kuita simu.

Nikiona unapiga sana napokea simu huku nimekunja mdomoo karibia unafika sikioni [emoji10] [emoji10] [emoji10] sipendi kero hasa mtu nisiyempenda.

Nikipokea simu yako lazima niweke kwenye kwapa ili uongeee naloo sipendag kerooo kabisaa au najifanya halllo halllo kama sisikii au network inasumbua.
Nikikata simu nakusindikiza na neno la hajaaaaaa.

Jamani kuna wanaume wanasumbua kwenye simu mpaka unataman kumpa makondeee yani haelewi huwa wananipa moto mimi.

Mrs Jr.
Ata simu yangu pia? Kama ndio niambie niache.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Shida yote ya nini? Muombe hela tu uone jinsi atakavyotoka mbio!
Ukiomba hela anakuahidi kesho saa 6 sasa kwa sababu unajua utapata hela loooh hiyo sku jiandae kumpetpet masaa 24 kinachokera na hela hatumi analeta porojooo
 
Ukiomba hela anakuahidi kesho saa 6 sasa kwa sababu unajua utapata hela loooh hiyo sku jiandae kumpetpet masaa 24 kinachokera na hela hatumi analeta porojooo
Hapo ndo unamwaga sasa. Na unamuomba hela ambayo lazima atoe mijicho[emoji102]
 
Ata simu yangu pia? Kama ndio niambie niache.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ya kwako tenaaa huwa tunalongaaa mpaka asubuhi
 
Ya kwako tenaaa huwa tunalongaaa mpaka asubuhi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mshana jr akipita hapa Utamfanya atafute kamba ya kujinyongea au kutafuta ile Ndumba kali kuliko zote kunirogezea.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mshana jr akipita hapa Utamfanya atafute kamba ya kujinyongea au kutafuta ile Ndumba kali kuliko zote kunirogezea.
Utarogwaaaa
 
Back
Top Bottom