[emoji1][emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Usiwasahau wa ujiji [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaa ngoja niwatag best zangu waha wa muzye na kagongo.
Yani mkeo kasema ile ya kuzungushaa mkono kama unarusha jiwe loooh[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha hizi siku mbili tatu huyu mwanamke kachangamka sana,,anafunguka hatarii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka kifala dah!Usiombe kupigiwa simu na muha pure from kigoma,akupende umkatae hehehee!!
Kila siku atajiunga cheka zogo ya 5000 kwa ajili ya kukupigisha story ya ziwa Tanganyika na jinsi hali ya hewa ilivyo kasulu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] na wa mwandiga, mwanga majengo,kibirizi na pale nazareth mitaa yangu sanaUsiwasahau wa ujiji [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndo raha ya mwanamke kutogozwa hata kama umeolewa unaonaje pale inapita wiki au mwezi hukatongozwa si unatafuta sangoma akuibie hera eti unaoshwa na maji ya bahar kumbe uongo kwa hiyo ni bora usumbuliwe tyu.Ukiwa nao wa5 wanaweza kukuharibia mood ya siku
Sio lazima upokee unakausha tuYani huwa nakereka kuongea na simu na mtu nisiyempenda unajua kwa sababu nimeshamweleza kila kitu lakini bado anazidi kuganda kama ruba huyu lazima nimfanyie unyamaaa unyamani tu.
Unakuta mwanaume amekutongoza umemkataaa anaendelea kukusumbua hawa ndo wanakera zaidi na story zao za porojo blah blah kibao huwa napata moto mimi Demiss hasira mpaka kwenye koo.
Yani watu kama hawa simu 24 hours sms kibao whastap alafu wanapenda video call yani huwa napata motooo mimi nachukia.
Yani nikiona tu simu inaitaaa haki nitasonyaaaaa sonyooo la haja alafu nabonyeza kidude cha kupunguzia sauti ili nisisikie kelele za kuita simu.
Nikiona unapiga sana napokea simu huku nimekunja mdomoo karibia unafika sikioni [emoji10] [emoji10] [emoji10] sipendi kero hasa mtu nisiyempenda.
Nikipokea simu yako lazima niweke kwenye kwapa ili uongeee naloo sipendag kerooo kabisaa au najifanya halllo halllo kama sisikii au network inasumbua.
Nikikata simu nakusindikiza na neno la hajaaaaaa.
Jamani kuna wanaume wanasumbua kwenye simu mpaka unataman kumpa makondeee yani haelewi huwa wananipa moto mimi.
Mrs Jr.
Watu kama hao huwa hawakat tamaaa kabisaaaIla kuna mdada akinipigiaga huwa nakereka sana make sikapendi nimejaribu kublock namba yake lkn bado kanatumia zingine tena. Demis umeongea point kama mtu humpendi anakera sana....
Taarifa zikufikie wewe Dada kama uko humu jf usiendelee kunisumbua,tena unikome kabisa
Mwanamke usipotongozwaa una gundu au mkosiNdo raha ya mwanamke kutogozwa hata kama umeolewa unaonaje pale inapita wiki au mwezi hukatongozwa si unatafuta sangoma akuibie hera eti unaoshwa na maji ya bahar kumbe uongo kwa hiyo ni bora usumbuliwe tyu.
Demiss nishauri nimfanyeje?hachagui muda iwe usiku iwe mchana yeye ni kupiga tuWatu kama hao huwa hawakat tamaaa kabisaaa
Hiv kwel mtu unaemoenda umtongez akukatalie mara 1 tayar uipotezee Hapana anaweza kuwa amekataa ila ukirudia rudia anakuona kama uko serous na unampenda kweli wengine hukataa ili kuona kama unampenda kweli utaendelea kutafuta.Yani humchukii kwa chuki ila hupendi kuongea nae tu,labda anapiga sana story xa timu usioipenda,anakudai,anapiga story za wachawi au vyovyote vile
Nishablock na SMS zikiingia tu zinafutwaMblock alafu akituma sms unafuta bila kusomaaa
Pamoja na huruma ila ni keroIla hakat tamaaa wanatia hurumaa sana
Ukiambiwa hupendwi zaid ya mara 3 unaacha tu mzeeHiv kwel mtu unaemoenda umtongez akukatalie mara 1 tayar uipotezee Hapana anaweza kuwa amekataa ila ukirudia rudia anakuona kama uko serous na unampenda kweli wengine hukataa ili kuona kama unampenda kweli utaendelea kutafuta.